Cheki na shigongo una kipaji kizuri usije ukafa njaa.
sasa kwenye mambo yetu anatulia au hatulii
najua kama stori umeitunga
Huwa nikisikia mke anamdunda mume nafurahi sana..keep it up wife!
mkuu hujaamua mvutie upepo andaa mpini kma futi 4 mkorofishe akileta ngumi tu mzibue mgongon ila usiue nakwambia atashika adabu yakeJamani kwa kweli nina hali mbaya,wakati namwoa hakuwa na mwili mkubwa kama alivyo sasa,lakini vilevile sikufikiria kama anaweza kuwa na nguvu kiasi hicho,tatizo lake yeye ni ngumi mkononi,anachokiamua yeye hakuna mjadala ukibisha ngumi mkononi haangalii niko na marafiki zangu au la,kuna siku nilimtishia kumpa taraka akanikwida bahati sana nilipokonyoka na kukimbia,siku ya pili nilkuja na marafiki zangu nikiamini kwamba zoezi litakamilika cha ajabu alitoka ndani na upanga akaanza kutukimbiza marafiki zangu nilio wategemea wakakimbia wote na mimi mwenyewe nikatimka,ilikuwa yapata saa sita,akaanza kuzunguka kijiji kizima huku akitishia kwamba leo nikiwakamata ama zao ama zangu,lakini ktk kututafuta akakutana na mmoja wetu akaanza kumfukuza mpaka kijji jirani.utata uliisha pale nilipomwomba radhi na kuridhia .zilipita siku kadhaa tu nilimkamata ugoni lakini alinijibu kwamba kinachoniuma ni nini wakati ametumia mali yake na wala hajatumia mali yangu,mbaya zaidi ananiambia nikimwacha atanifanyia kitu mbaya
Na kwenye hadithi hii, sisimizi kamuua tembo!
shidddddah!
mkuu hujaamua mvutie upepo andaa mpini kma futi 4 mkorofishe akileta ngumi tu mzibue mgongon ila usiue nakwambia atashika adabu yake
Hili Bausa lazima litakuwa la kinyakyusa.
Ili usiendelee kupata kichapo, akitoa mkong'oli wewe mwambie mke wangu shikamoo uone kama ataendelea kukukong'oli.
uwe jasir tu, nachokwambia niliwahi kukishuhudia mama mdogo alikuwa akitandika wanaume balaa mwanaume 4 baada ya kutorizika na manyanyaso cku hiyo alipga bangi zake akampga mpini tangia hapo mama yangu anaheshima wala hajawah kuleta tena nyodohofu yangu akifanikiwa kuninyang`anya sijui nitakimbiaje!!
Jamani kwa kweli nina hali mbaya, wakati namwoa hakuwa na mwili mkubwa kama alivyo sasa, lakini vilevile sikufikiria kama anaweza kuwa na nguvu kiasi hicho.
Tatizo lake yeye ni ngumi mkononi,anachokiamua yeye hakuna mjadala ukibisha ngumi mkononi haangalii niko na marafiki zangu au la,kuna siku nilimtishia kumpa taraka akanikwida bahati sana nilipokonyoka na kukimbia.
Siku ya pili nilkuja na marafiki zangu nikiamini kwamba zoezi litakamilika cha ajabu alitoka ndani na upanga akaanza kutukimbiza marafiki zangu nilio wategemea wakakimbia wote na mimi mwenyewe nikatimka.
Ilikuwa yapata saa sita,akaanza kuzunguka kijiji kizima huku akitishia kwamba leo nikiwakamata ama zao ama zangu,lakini ktk kututafuta akakutana na mmoja wetu akaanza kumfukuza mpaka kijji jirani.
Utata uliisha pale nilipomwomba radhi na kuridhia .zilipita siku kadhaa tu nilimkamata ugoni lakini alinijibu kwamba kinachoniuma ni nini wakati ametumia mali yake na wala hajatumia mali yangu,mbaya zaidi ananiambia nikimwacha atanifanyia kitu mbaya.