Usirudi. Ishi huko mpaka ufikie umri wa kustaafu. Posho ya huko ya kustaafu ya kila wiki (au mwezi) itakufanya uishi maisha mazuri Tanzania au huko.Habari wana jf.
Mimi ni mbongo ambaye nipo ughaibuni tangu 1992 na sijawahi kurudi bongo. Nilikuja huku kutafuta maisha na kusoma, lakini kutokana na gharama za maisha na gharama za elimu sikuweza kusoma. Sasa nina miaka 51 na natamani kurudi bongo.q Elimu yangu ni ya form 4 ya pugu secondari 1988. Benki nina dola 1800 tuu. Jee naweza kurudi bongo na kuishi comfortably? Yaani kunywa maziwa, kulala pazuri, kutotumia madaradara kwa usafiri, kula chakula nzuri (siyo kula nafaka).
Kuna fursa gani huko kwa wazee kama mimi?
Naombeni msaada wenu
Kama kwa miaka 26 amekusanya dola 1,800 sawa ni dola 70 kwa mwaka. Hadi afikishe dola 6,000. Kwa mantiki io itabidi aikusanye kwa miaka kama 52,jumlisha umri alionao....Apambane apate japo $6000 hivi akiludi anunue ist afanye uber atapata hela ya kuanzia kuishi mjini
mimi nafaka ndiyo vyakula vyangu hivyo ila sipati kisukaliNafaka husababisha kisukari
Miaka 51 umeisha poteza(ukirudi bongo) agemate wako wana hesabu miezi tuu wakajichukulie 25% ya mafao yao......bakia huko huko tuu.Habari wana jf.
Mimi ni mbongo ambaye nipo ughaibuni tangu 1992 na sijawahi kurudi bongo. Nilikuja huku kutafuta maisha na kusoma, lakini kutokana na gharama za maisha na gharama za elimu sikuweza kusoma. Sasa nina miaka 51 na natamani kurudi bongo. Elimu yangu ni ya form 4 ya pugu secondari 1988. Benki nina dola 1800 tuu. Jee naweza kurudi bongo na kuishi comfortably? Yaani kunywa maziwa, kulala pazuri, kutotumia madaradara kwa usafiri, kula chakula nzuri (siyo kula nafaka).
Kuna fursa gani huko kwa wazee kama mimi?
Naombeni msaada wenu
Msaidie mtani wetu arudi nyumbaniHahahaha
Kwa kweli walahi
Acha kutuabisha mkuu!kwa kwa wiki tu mtu unapata 500usd,wewe utakuwa Malawi bila shakaHabari wana jf.
Mimi ni mbongo ambaye nipo ughaibuni tangu 1992 na sijawahi kurudi bongo. Nilikuja huku kutafuta maisha na kusoma, lakini kutokana na gharama za maisha na gharama za elimu sikuweza kusoma. Sasa nina miaka 51 na natamani kurudi bongo. Elimu yangu ni ya form 4 ya pugu secondari 1988. Benki nina dola 1800 tuu. Jee naweza kurudi bongo na kuishi comfortably? Yaani kunywa maziwa, kulala pazuri, kutotumia madaradara kwa usafiri, kula chakula nzuri (siyo kula nafaka).
Kuna fursa gani huko kwa wazee kama mimi?
Naombeni msaada wenu
Ukishapata usd 500 kwa wiki, ukishalipa tax? Na ukishalipa medicare insurance? car insurance? childcare? pocket money ya watoto? leisure activities za watoto? kula chakula kizuri? kunabaki usd ngapi?Acha kutuabisha mkuu!kwa kwa wiki tu mtu unapata 500usd,wewe utakuwa Malawi bila shaka
Habari wana jf.
Mimi ni mbongo ambaye nipo ughaibuni tangu 1992 na sijawahi kurudi bongo. Nilikuja huku kutafuta maisha na kusoma, lakini kutokana na gharama za maisha na gharama za elimu sikuweza kusoma. Sasa nina miaka 51 na natamani kurudi bongo. Elimu yangu ni ya form 4 ya pugu secondari 1988. Benki nina dola 1800 tuu. Jee naweza kurudi bongo na kuishi comfortably? Yaani kunywa maziwa, kulala pazuri, kutotumia madaradara kwa usafiri, kula chakula nzuri (siyo kula nafaka).
Kuna fursa gani huko kwa wazee kama mimi?
Naombeni msaada wenu
Maisha ni popote, aje tu kwani nini kipya kitamtokea? Umasikini upo na hautaisha,magonjwa yapo na hayataisha, na mwisho wote tutakutana na umauti, bila kujali ulikuwa tajiri au masikini. Maisha hayana formula, lakini inaonekana mwenzetu anataka apewe formular ya kuja kuishi Bongo hii hahaha, atasubiri sana. Njoo mwenzetu Nyumbani kumenoga.Nimekuelewa ndugu,Ila kulala nje duuuhhhh kama alikua anakumbuka ndugu zake am sure kuna watakaombeba 100% especially wakieelewa situation yake....anyway hapa tunafanya brain storming yeye atafanya au kuchukua ushauri unaomfaa
Hahaha dada, huyo yeye anataka KURUDI, wewe unamshauri ASIRUDI. Inaonekana fursa aliyokuwa nayo inaishia ukingoni, sasa anaanza kuwaza kurudi ALIKOTOKA. Labda kazi anayofanya haina hizo benefits, Maana nasikia nchi hizo za ughaibuni zinapambana na wahamiaji haramu, wale illegal, wasio na vibali vya kuishi huko kihalali. Je, ikiwa ni miongoni mwa hao, Still atapata hizo benefits au bora arudi nyumbani kama alivyoomba kushauriwa nama ya ku survive hapa kwetu.Usirudi. Ishi huko mpaka ufikie umri wa kustaafu. Posho ya huko ya kustaafu ya kila wiki (au mwezi) itakufanya uishi maisha mazuri Tanzania au huko.
Fata kanuni za Wahindi, maisha popote. Usikazanie kurudi huku.
Ukila nafaka utakufa?Ukishapata usd 500 kwa wiki, ukishalipa tax? Na ukishalipa medicare insurance? car insurance? childcare? pocket money ya watoto? leisure activities za watoto? kula chakula kizuri? kunabaki usd ngapi?
au unataka niishi nakula nafaka nisave pesa? kama hujui maisha ya huku siyo lazima useme lolote.
Ni suala la muda tu!mimi nafaka ndiyo vyakula vyangu hivyo ila sipati kisukali