Naombeni msaada kupata free Dstv,

Naombeni msaada kupata free Dstv,

pozzyfaza

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2012
Posts
1,453
Reaction score
268
wapendwa naombeni msaada wa kupata chanell za bure, me mpunga umenikatikia. nackia kuna maujanja wapendwa
najua hapa c mahara pake ila naweza pata msaada. tafadhar mwenye unjanja huu anipe tafu.
 
Mbona umekosea njia???Tembelea jukwaa husika labda utapata solution
 
najua njia c yenyewe kwani hujasoma ukaelewa kaka, kuwa mwelewa
 
wapendwa naombeni msaada wa kupata chanell za bure, me mpunga umenikatikia. nackia kuna maujanja wapendwa
najua hapa c mahara pake ila naweza pata msaada. tafadhar mwenye unjanja huu anipe tafu.

Labda hapa. Pitia uzi huu kirefu.
 
wapendwa naombeni msaada wa kupata chanell za bure, me mpunga umenikatikia. nackia kuna maujanja wapendwa
najua hapa c mahara pake ila naweza pata msaada. tafadhar mwenye unjanja huu anipe tafu.

Hawaombag hvyo mkuuu!
 
Unaweza tumia njia mbadala! Kama kwa mfano shida yako ni soka! Siku hizi kuna live streaming za HD bure kabisa kwenye net za sky sport ni zaidi ya ss 3. Ila unahitaji mtandao wa uhakika, namna ya kuupata mtandao nitafute kwa wakati wako
 
Back
Top Bottom