Naombeni msaada kidogo hapa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naombeni msaada kidogo hapa!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Msafiri Kasian, Nov 18, 2011.

 1. Msafiri Kasian

  Msafiri Kasian JF-Expert Member

  #1
  Nov 18, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,812
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Jamani embu nishirikisheni
  uzoefu wenu kwa shule
  mlizosoma au ambazo
  mnazijua zilizofanikiwa
  kwenye masomo. Je,
  wanafunzi wanapimwa mara ngapi kwa term
  (mitihani)? Na je,ni % ngapi
  hutolewa kwa kila mtihani
  na hatimaye kupata
  wastani wa muhula mmoja?
  Uzoefu wangu kwa shule nilizosoma na
  ninazozifahamu,wanakuwa
  na monthly test 25%(mara
  moja tu kabla ya midterm
  na terminal au annual
  exams) na midterm exam 75%(aprl and sept).
  Naomben mnisaidie hapo
  haraka iwezekanavyo.
   
 2. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #2
  Nov 18, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,868
  Likes Received: 6,566
  Trophy Points: 280
  Shule nilizosoma mimi hakukuwa na Mitihani mingine zaidi ya ile ya Mihula,ya Mock na Taifa...
   
 3. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #3
  Nov 18, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,967
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280
  Kama alivyosema mdau huyu hapa chini
   
 4. Salanga

  Salanga JF-Expert Member

  #4
  Nov 19, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 375
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mitihani ya kila mwezi, ya mid term na terminal.

  Hata elimu katika kufanya jambo si lazima uka copy and paste,toka na idea yako.
   
Loading...