naombeni msaada juu ya laptop yangu aina ya lenovo

Phdum

JF-Expert Member
Apr 15, 2019
812
1,667
hii laptop yangu aina ya lenovo nilimpa mtu atumie lakini baada ya kuirudisha nikiwasha kibatani cha kuwasha ndio hutoa mwanga na kisha inazima je ni imeharibika au watakuwa wamechomoa hard disk?
na je utajuaje kuwa laptop imechomolewa hard disk
 
Attachments

  • 20190707_123314.jpg
    20190707_123314.jpg
    190.2 KB · Views: 16
hii laptop yangu aina ya lenovo nilimpa mtu atumie lakini baada ya kuirudisha nikiwasha kibatani cha kuwasha ndio hutoa mwanga na kisha inazima je ni imeharibika au watakuwa wamechomoa hard disk?
na je utajuaje kuwa laptop imechomolewa hard disk
Mkuu hard disk ikiwa haipo ingewaka then ikasema no bootable device ama neno linalofanania.

Huwezi Hata kufikia bios?
 
basi hili tatizo litakuwa ni la pc na sio kukosekana kwa hard disk kama nlivodhan
 
hiyo sio shida ya hard disk wala sio RAM. cha kufanya hapo jaribu kufanya RESET kwa kuchomoa CMOS battery na kuiacha komputer kwa muda kama nusu saa bila battery, bila cmos battery. natumaini itawaka

Back
Top Bottom