Naombeni msaada juu ya hili swali kuhusu nelson mandela

lux

Member
Sep 16, 2013
27
23
Nikwanini Nelson Mandela aliwasamehe white people (Boers) baada ya kupata uhuru ikiwa wali watesa na kuwanyanyasa sana.
 
kimbendengu

JF-Expert Member
Jun 7, 2013
4,876
7,356
Nikwanini Nelson Mandela aliwasamehe white people (Boers) baada ya kupata uhuru ikiwa wali watesa na kuwanyanyasa sana.

lux nenda jukwaa la greatthinkers kuna thread inayo elezea historia ya mandela au kuna mtu anaitwa nguruvi3 anakilakitu cha madiba.
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom