yiihaa! It worked like a charm! Now my old lapie is up and about running faster! Asante mkuu!
Tumia SLIMDRIVER iyo haina shida... utaipata GoogleKwenu wakuu! nimedownload hiyo drive scanner,ila kila nikijaribu kudownload hizo driver inanidai purchasing serial code! Nasaidie namna ya yakuchakachua hiyo au hata maujanja mengine yakuzipata hizo driver for free. Nawasilisha kwenu
Asante mkuuAcha nayo iyo my pc, kwanza kabisa tafuta drive park solution iyo ni software ya driver zote za computer zote. Ikikataa utadownload driver official za laptop yako kwenye site zao