J627204 JF-Expert Member Joined Feb 18, 2014 Posts 268 Reaction score 99 May 7, 2014 #1 Mwenye kujua namna ya kuweka mfumo ukipoteza simu uweze kujua nani anaitumia mm nina Huawei natanguliza shukrani kwa majibu yenu
Mwenye kujua namna ya kuweka mfumo ukipoteza simu uweze kujua nani anaitumia mm nina Huawei natanguliza shukrani kwa majibu yenu
chakii JF-Expert Member Joined Sep 15, 2013 Posts 21,885 Reaction score 29,674 May 7, 2014 #2 J627204 said: Mwenye kujua namna ya kuweka mfumo ukipoteza simu uweze kujua nani anaitumia mm nina Huawei natanguliza shukrani kwa majibu yenu Click to expand... Huawei zipo nyingi mkuu,. Tuambie specification zake zikoje?
J627204 said: Mwenye kujua namna ya kuweka mfumo ukipoteza simu uweze kujua nani anaitumia mm nina Huawei natanguliza shukrani kwa majibu yenu Click to expand... Huawei zipo nyingi mkuu,. Tuambie specification zake zikoje?
J627204 JF-Expert Member Joined Feb 18, 2014 Posts 268 Reaction score 99 May 7, 2014 Thread starter #3 Ni huawei y300