Naombeni mnisaidie nielewe kuhusu wi_fi network

Naombeni mnisaidie nielewe kuhusu wi_fi network

Kirefu cha WiFi ni Wireless Fidelity hiyo ni switch kwenye smartphone yako ambayo kazi yake ni kuscan wireless network yoyote eneo ulilopo...

Hiyo ni wireless locator.
 
Error: I was not understanding about this.
Correct: I was not aware about this.
Correct: I did't understand this.
Correct: I am not understanding this.
Shukrani mkuu.
Wengine ngeli tunaidandia juu kwaju.
Si' unajua sometime no sometime yes
 
Back
Top Bottom