miss confidence
JF-Expert Member
- Jul 9, 2016
- 393
- 273
Habari za Leo greater thinkers.... Mimi Nina shida kidogo naomba kueleweshwa na wajuzi wa haya mambo ..kuna mitaa huwa nikikatiza simu yangu inaandika available wi,_fi network but huwa siielewi hii wi_fi network. Naombeni mnielezee kuhusu wi_fi network niielewe.