Mkuu ni kweli hao jamaa sio wavivu wa kila kitu hata papuchi zao ziko bize kila wakati.Hawa wadudu ukiwafungia kwenye banda wawili tu jike na dume ukawa unawapa chakula tu baada ya miezi miwilí unaweza kuta wamefika kumi..
Nilipowaona tu nikawakumbuka ni Sili, nimewahi kuwafuga. U kitaka kuwaptia chimba shimo la kama 3 to 5 sqm kulingana na ukubwa wa banda unalotaka halafu weka sakafu ya cement chini pembeni zungusha tofali halafu jaza udongo. Then kutokea hapo unaweza jenga banda lao that means watachimba chini mwisho wao utakuwa sehemu uliyoweka sakafu hawawezi kuendelea. Then waweke wawili tu jike na dume uone balaa lake baada ya miezi 6 tu.kuna baadhi ya jamii ya watu wanawala,,,mimi nilishawai kuwa fuga zamani,sifa kubwa [sili] walio nayo ni kuzaliana kwa wingi,unaweza jikuta unafungua [neshino paki] mkuu, kwa miezi6,
wanaliwa vizuri, sisi tulikuwa tunawafuga sambaba na sungura. i thought ni jamii ya sungura kumbe panya!
Nilipowaona tu nikawakumbuka ni Sili, nimewahi kuwafuga. U kitaka kuwaptia chimba shimo la kama 3 to 5 sqm kulingana na ukubwa wa banda unalotaka halafu weka sakafu ya cement chini pembeni zungusha tofali halafu jaza udongo. Then kutokea hapo unaweza jenga banda lao that means watachimba chini mwisho wao utakuwa sehemu uliyoweka sakafu hawawezi kuendelea. Then waweke wawili tu jike na dume uone balaa lake baada ya miezi 6 tu.
Kumbuka kuwalisha vizuri, wanakula majani laini jamii ya mchicha na pia wanapenda ile pumba laini isiwe na yale makapi, karanga wanafurahia sana. Ni marafiki sana kwa wanadamu. Wanapatikana sana ukiwahitaji sema tufanye biashara. Wamefikia 10,000 kwa jike na 7,000 kwa dume.
wanaitwa Pimbi au simbilisi kuna jamaa yangu tukiwa wadogo alifuga wengi sana ikafikia hatua akienda kutupa takataka wakati a kusafisha banda alikuwa anatupa polini wengine kwa bahati mbaya