wanaitwa [sili] ni jamii ya panya,
Samahani mkuu kuna watu wanafuga hawa na kuwatumia kwa kitoweo,kwa maana hiyo wanakula panya.wanaitwa [sili] ni jamii ya panya,
Wanaliwa? Hapa nchini wapo maeneo gani?
Samahani mkuu kuna watu wanafuga hawa na kuwatumia kwa kitoweo,kwa maana hiyo wanakula panya.
Wanaliwa? Hapa nchini wapo maeneo gani?
Usiseme kwa sauti JWTZ watakupiga. Hao ndiyo wazee wa gesi, ukipata kumi tu unaweza kutengeneza gesi yako mwenyewe halafu ukawauzia watu wa Dar es salaam haraka kabla ya Msimbati haijaingia sokoni.