Naombeni mbinu ya kupambana na viluilui kwenye maji

hansseverinn

New Member
Mar 30, 2022
2
3
Kuna tenki la maji la ujazo wa lita 5000, sasa maji yamejaa viluilui na ndo yanayotumika kwa matumizi ya nyumbani. Kama kuna dawa ya kuua hao viumbe naomba nijulishwe tafadhali.

Natanguliza shukrani
 
Tia chlorine.

Lakini kama lipo chini fanya umalize maji usafishe.

Hayo ni maji ya mvua?

Tumia chlorine ile ya vidonge inauzwa madukani.
 
Back
Top Bottom