viluilui

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. hanseven

    JamiiForums Tanzania Naombeni mbinu ya kupambana na viluilui kwenye maji

    Kuna tenki la maji la ujazo wa lita 5000, sasa maji yamejaa viluilui na ndo yanayotumika kwa matumizi ya nyumbani. Kama kuna dawa ya kuua hao viumbe naomba nijulishwe tafadhali. Natanguliza shukrani
Back
Top Bottom