Sio coinciedence kabisa... ulivyoelewa that is the way it is....
Alafu babu mbona nimepost kuhusiana na shosti wa cheusi... au hujapenda...lol
Ule ujauzito uliku kweli wa mtoto mmoja, ila tu mtoto ka evolve from Asha D to Ashadii...
Naomba matambiko yafanye haraka, na ripoti naleta haraka saaana..
na namba za simu nisha pm...lol
Awe karibu na kaka B na ampotezee huyo kaka A.
Sasa babu ameshaelewa.........babu ni slow learner ujue...:cool2::cool2:
Haya ukuje na ripoti moja kwa moja chumbani huku..... kumbe ulishafanyiwa tambiko wewe.....
Siku nyingine ukivunja ungo bila kumtaarifu babu, ntakubwenga makwenzi...
Now...back to topic.......... Nakutuma umwambie Cheusie naye akamwambie shosti wake kuwa amwambie kaka A kuwa anampenda kaka B ili maisha yasonge mbele....mwambie maisha haya ni mafupi sana, hatupaswi kuumiza nafsi zetu, chagua ile kitu roho inapenda bana. Atii kiu yake, avunje UKIMYA.........Usisahau kumwambia kuwa ushauri wa babu NI AMRI!
Asante babu... bora wewe slow learner, wengine sio learners kabisa hasa kama mnvi zimetanda...
Chumbani nakuja bila kuchelewa na sababu nina nafasi nzuri na bb hayupo (mjukuu wako kanidokeza),
naona nije nifanye na usafi kidogo na mashuka mapya ya nyuzi za Egypt... nikiambatana na faili lenyewe..
Ujumbe kwa Cheusi umefika!!!!
Hivi Egypt ndo kule kwa Gadaffi au kwa Hosni Mubarak.............. Si ndo kule kwa Cleopatra?
Ngoja babu avae makubazi na kanzu yake. Mjukuu asije akamfumania na msuli wake.
ha ha ha babu.... haijalishi kiongozi wake ni nani...
Kikubwa ujue ndo kwa Cleopa....lol...
Nisije pofuka please funga vizuri the msuli...
ampe huku amekunja sura au? Maana kashasema hampendi. LolKama anaamua kumpa kaka B bora na kaka A nae apewe maana asinge mjua bila ya kaka AWote wafikiriwe mbuchuchu
Hivi msuli unafungwa au unakazwa?.........Kiswahili bana dah!
Na kitakachokupofua ni msuli au kilichomo nyuma yake?
Afu we mchokozi kumbe eh?
ampe huku amekunja sura au? Maana kashasema hampendi. Lol
It was for free.....next time I will charge tuition fee!mmmmh... corrections Noted...lol
It was for free.....next time I will charge tuition fee!
Yaaaani fidel nimecheka sana, kwa hiyo wapewe wote sioKama anaamua kumpa kaka B bora na kaka A nae apewe maana asinge mjua bila ya kaka A
Wote wafikiriwe mbuchuchu
Guiness ndio zaongeza yale mambo kwani? tuambiane ati tujueMpwa umesahau raha kula na nduguyo?
Ampe wakati amekunywa Guinness za kutosha
mi nasema kuwa uyo msichana atafute mda na amueleze kaka B kuhusu urafiki wake na kaka A na kwamba hana
uhusiano naye, ila ana hisia na kaka B ili aone kaka B atachukua hatua gani
Hivi hii room utaifanyia usafi kwa fagio za chelewa au utapiga deki kwa gunia?aaaah! babu wakati nakuja kufanya usafi room,
hakuna exceptions na mali yenyewe haijatolewa... mmh...
sawa nifanyeje... itatoka kwenye mfuko wa mjukuu wako...
thanx,ila kwa ninavyomjua shoga yangu sijui atawezaje kumweleza B wkt bado huyo kaka hajamtamkia kwa maneno,si itakua kama yeye ndo anaanza kumongoza huyu kaka?
Kama anaamua kumpa kaka B bora na kaka A nae apewe maana asinge mjua bila ya kaka A
Wote wafikiriwe mbuchuchu
The power to control that iko vestesd in the shosti her self..
Wanawake tumeumbwa na a very strong female intuation for these things
hasa kama wahusika wako mbele ya macho yetu... Kosa alilolafanya shosti ni
kuacha mpaka mambo yanaelekea yako out of control kwa sasa (yawezekana
mwanzo she didn't mind the attention ya both kwake...)
Hata hivyo yeye kisha gundua kua anampenda kaka B, Simlaumu A kwa kumwaga sera
baada ya B kumwaga for guy wametofautiana.. inawezekana alikua anampenda na sababu
alikua nae close hakua na haraka mpaka A alipomwaga sera... Hata hivyo nashindwa kuelewa
ni kwanini A na B hawaja jadili hili suala for guys are good at solving nani ampate the lady!
Chakufanya tokana na mtazamo wangu, kwanza shosti ahakikishe kua B anampenda na
ana mpango nae, akihakikisha hilo inabidi akae ki utu uzima na A kumueleza the situation
kana kwamba haja notice feelings za jamaa (mana naona hajamwanga sera wazi...)
Kua sababu yeye ndo aliwa connect anataka ajue kua they have feelings for each other...
Cheusimangala naamini wewe ni mzima...
Yaaaani fidel nimecheka sana, kwa hiyo wapewe wote sio
Guiness ndio zaongeza yale mambo kwani? tuambiane ati tujue