Naombeni mawazo yenu kwa adhabu anayo staili Mwanamke msaliti iwe fundisho

Wewe huna lolote roho inakuuma bado unampenda, na pia wewe utakuwa na mapungufu yako maana yeye hatujamsikia anasemaje kuhusu wewe.

Ushafeli, huyo adhabu yake ilikuwa kupiga mimba tu. Kesi ya kimkun*" Inamalizwa kimkun*"mkind*". Hajakuzidi ujanja Ila ulipunic ungekuwa mpole umvizie kiume.

Nakushauri bado nafasi unayo Rudi ukalielie mpaka alegee umkojolee mpaka mimba.
Halafu aikatae sio baada ya miezi 7

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu nenda driving School ukimaliza mafunzo tafuta leseni ya udereva halali isiyo na shaka baada ya hapo tafuta million 1 alaf kama hauna gari azima kwa rafiki yako yoyote then nenda mtaani kwao huyo demu wako na upaki gar njia anayoweza kupita huk ukiwa haujazima gari na mguu uwe kwenye clutch na breki akitokea tu achia clutch umvae hakikisha unamuuwa kabisa na baada ya hapo kajisalimishe polisi upelekwe mahakamani ukalipe fain ya elf 80 na uwe huru
Hizi trafic case hazinaga shida ukiwa na leseni


Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Huna utakachofanya you’re just f#king coward... If you want to kill ...KILL DONT TALK
 
Mkuu nenda driving School ukimaliza mafunzo tafuta leseni ya udereva halali isiyo na shaka baada ya hapo tafuta million 1 alaf kama hauna gari azima kwa rafiki yako yoyote then nenda mtaani kwao huyo demu wako na upaki gar njia anayoweza kupita huk ukiwa haujazima gari na mguu uwe kwenye clutch na breki akitokea tu achia clutch umvae hakikisha unamuuwa kabisa na baada ya hapo kajisalimishe polisi upelekwe mahakamani ukalipe fain ya elf 80 na uwe huru
Hizi trafic case hazinaga shida ukiwa na leseni


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari za asubuhi wakuu, poleni na pilikapilika na kutafuta liziki ya hapa na pale, sitaki kuongea mengi naomba nieleze kwa ufupi sana na naamini kwa walio pitia kadhia kama yangu watakuwa wanaelewa, nimekuwa kwenye mapenzi na binti kwa miaka 8 (nilianza nae mahusiano nikiwa o-level, advance, chuo, na baada ya kuingia kazini baada ya masomo nikaanza taratibu za kutaka kumuoa). na nia na madhumuni yangu nilitaka kumuoa mwaka huu huu. uyu binti nimesha poteza pesa, muda na ata kuatalisha maisha yangu kwaajili yake,

uyu binti nilimkamata na ushaidi usio na shaka kuwa anatoka na mtu mwingine (ninaposema usio na shaka namaanisha sijamsingizia mungu shaidi), cha ajabu akawa anajihami wala ajaangaika kuomba msamaa wowote ule (sijamaanisha kuwa aombe msamaa turudiane hapa, ni ule msamaa wa kuonyesha tu amekosa ingawaje kila mtu anaweza kuendelea na maisha yake) ndugu zangu siku ile ile nili-stop kuwasilina nae. sikuwahi kumtafuta kwenye maisha yangu yote (namaanisha tangu siku ya fumanizi), nikili ndugu zangu nime-inverst sana kwake yule dada nimepoteza sana muda wangu, sikuwahi kuwaza kuoa au kuwa na mwanamke mwingine ukiachana na yeye, amenisaliti amenionyesha kiburi.

nina cha kumlipa uyu bi-dada, nimekaa nimetafakari sana kuhusu uyu dada kuna kitu anastahili akipate, kalma is bitch, kuna maneno wanasema "move on na uendelee na maisha yako wanawake wapo wengi" ni kweli ila kwangu nahisi uyu bi-dada kuna kitu anastahili nimuachie ili asije nisahau kwenye maisha yake, nae pia ajifunze kitu hapa ulimwenguni, naombeni ushauri wenu wakuu kipi nimpatie ili iwe kumbukumbu pekee ambayo itabaki kwenye maisha yake yote.

Nilisha mwambia mapema sana kuwa awe makini asije akajaribu kuni cheat kama anaona hana malengo na mimi aondoke mapema tu kwenye maisha yangu (ilikuwa mwaka wa 1, 2,3... kwenye mahusino yetu).
Sipendi kumpotezea mtu muda kama sina malengo naye, ila ili la mimi kupotezewa muda nahisi limeniuma mnoo, kupoteza gharama zangu kwake limeniuma mnoo, binti kunidharau limenisikitisha sana.

NOTE: KUAMBIWA MOVE ON, UKIACHA ACHIKA, WANAWAKE WAPO WENGI AYO YOTE NAYATAMBUA ILA KWENYE ILI NAITAJI KUPATA KITU CHA KU-APPLY KWA UYU BI DADA, ILI UKO ATAKAPO KWENDA AWE NA ADABU.

Kuna mdau nilisoma uzi wake unasema: Revenge: Napeleka kilio kwa binti fulani siku ya kupeleka barua

Uyo mdau nilielewa kwanini alifanya ivyo, kuna ile feeling naipata kwa maumivu alio achiwa moyoni, nami naitaji kufanya kitu, najua wadau mliopo humu mtanipa mbinu mikakati mizuri ikawe fundisho kwa binti ambaye ni msaliti.

WATU WANAULIZA IWEJE NIMEKAA NAE MIAKA YOTE IYO NANE (8) UFAFANUZI WANGU NI HUU:

nimeanza nae mausiano tangu nikiwa kidato cha pili mkuu (2 years olvel), je ningemuoa baada ya kumaliza form four ili hali wote tulikuwa kwenye miangaiko ya kuisaka elimu, nikaenda advanvace (2 years), je ningemuoa wakati namaliza advance ambayo kwenye mahusino tulikuwa ni 4 years, jibu ni hapa, nimeenda chuo 3 years, jumla miaka 7 nipo nae, mwaka wa 8 nikaingia kwenye ajira na kutangaza nia ya kumuoa, hapo kosa langu ni lipi, maana naona nahukumiwa kwa kukaa nae miaka nane.
Ulimsokota mbususu ya mwanangu for 8 good years? Form 11 alikuwa teenager wa miaka 16 leo anatimiza miaka 25 ndo unaleta upuuzi wako humu JF? You must be jocking!
 
Labda alionyesha dalili mapema za kukuchoka wewe ukapuuzia na kuendelea nae sababu umewekeza sana kwako na hukutaka kumpoteza. Jitafakari pia kwa upande wako.

Otherwise move on, hata ukimdhuru sidhani kama itafuta majeraha yako zaidi utajiongezea hofu na stress. Pole sana kwa yote
Mbona KOROE yupo fresh?
In every action there is equal and opposite reaction.

#YNWA
 
Revenge inamuumiza mtendaji na mtendwaji.
Mapendekezo ya revenge:-
1. Mtakie heri kwenye maisha yake usiwe na kinyongo naye;
2. Oa/Uwe na mpenzi mzuri wa sura na umbo mara kumi yake na akupende sana;
3. Fanya kazi sana uwe na mafanikio mara dufu zaidi yake yeye na mume wake na ndugu kwa pamoja
Revange ya ki-gentleman hiyo.
Revenge ya kishamba:-
1. Toka na ndugu yake/rafiki yake;
2. Jifanye mjinga umsamehe mrudiane kisha piga chini.
 
1. Hakuwa mke wako.

2. Miaka 8 unamla tu na ukafikiri unammiliki!! Jua kuwa na wewe ulimpotezea muda.

3. Kwa maoni yangu ni udhaifu mkubwa sana kwa mwanaume kulipiza kisasi kwa mwanamke. Tulishaambiwa tuishi nao kwa akili.
4. Unachotaka kumfanyia ni ushahidi tosha kuwa ulikuwa tegemezi kwake kihisia na ndio maana sasa hayuko nawe bado hisia zako zimeshindwa kujitegemea na kusonga mbele. Mwanaume hupaswi kumtegemea mwanamke kihisia hasa kama si mkeo.

Hapo mzee baba ulituwakilisha vibaya.

5. Unachotakiwa ni kufanya kazi kwa bidii, kutafuta pesa ili kumuonesha kuwa uko huru kihisia. Hilo ni pigo tosha.
 
Umeshamaliza maswali yangu yote. Hasa hapo kwenye umri

Cha kuongezea... what is muhfucking money? Kinachokuuma hapa ni hela ama ni nn? Wewe hukua unamla? Mwanaume ugharamike mdogo wangu
Unipotezee muda na pesa then uniache nikuache HIVIHIVI...
We "apandacho mtu ndicho atakacho vuna"

Subiri nikuvunishe ulichokipanda.

#YNWA
 
Samehe Mkuu...mapenzi yana mambo mengi.

Hata mm nimewai kutana na situation kama iyo...mm niliomba msamaha na kusema siwezi kuendelea tena lakini nilijibiwa hakuna msamaha mpaka kesho kwa Mungu.

Kisingizio kama mada yako eti kaniudumia Sana. Sikatai lakini je hakuwa ananikula

Na mm nilijibu kibingwa poa tu Muamuzi wetu atakuwa Mungu
Alikuachaje HIVIHIVI...
Ulikutana na mbwiga basii.
Eti unitendee la kuniumiza halafu nikuache...

We ulisikia wapi?

In every action there is equal and opposite reaction.

#YNWA
 
Back
Top Bottom