Ndimu nimeona ni tunda muhimu sana na linahitajika sana muda wote hasa miji ya kitalii kama arusha au zanzibar maana hata mahotel makubwa nayo huitaji ndimu kwa chakula,vinywaji vikali na juice hayo ndio baadhi ya motive zangu katika zao hilo.Please, I have one question for you before any advice. What is your motive for this project? Kaka nini kimekupelekea kuamua kulima ndimu?
Ndimu nimeona ni tunda muhimu sana na linahitajika sana muda wote hasa miji ya kitalii kama arusha au zanzibar maana hata mahotel makubwa nayo huitaji ndimu kwa chakula,vinywaji vikali na juice hayo ndio baadhi ya motive zangu katika zao hilo.
sokoni sasa elfu 1 unapata ndimu ngapi huko znz?Zanzibar ndimu zinakubali sana na ni nyingi sana na hazina bei kama huku kwetu.
Ni nyingi kiasi wameamua kufunguwa kiwanda, soma zaidi;
FREE ZANZIBAR PEOPLE FROM MKOLONI MWEUSI: KIWANDA CHA NDIMU KINATAKA KUJENGWA KTK NCHI YA ZANZIBAR
Okay. Ninaona logic hapa. Umeshafanya research ya kutosha. Nafikiri maeneo ya matombo & Turian huko Morogoro ndimu zinaweza kukubari vizuri. You may visit those areas for survey.Ndimu nimeona ni tunda muhimu sana na linahitajika sana muda wote hasa miji ya kitalii kama arusha au zanzibar maana hata mahotel makubwa nayo huitaji ndimu kwa chakula,vinywaji vikali na juice hayo ndio baadhi ya motive zangu katika zao hilo.
Hujashauriwa kujaribu... kaulize kabisa mkuunimejaribu mr google anazingua tuu labda nipe link mkuu
Nipe njia nimeuliza lakini wanaleta matokeo tofauti na nachoulizaHujashauriwa kujaribu... kaulize kabisa mkuu
Asante wanapatikanaje mkuuWaone TAHA wakupe muongozo wa soko, aina inayotakiwa, masharti ya utunzaji nk
Google, social networksAsante wanapatikanaje mkuu