Ndekirhepva
JF-Expert Member
- May 18, 2012
- 371
- 44
nimeanza kufanya mbwembwe na hii ya snipping tool naona mambo ni mazuri, thanx much mkuukama unatumia windows 7 nenda kwenye search box na andika "snipping tool" Itatokea kwenye list then click, itafanya screen kuwa kama na kivuli, tumia mouse kuselect sehemu unataka kuchukua then save
Select window ambayo unataka kui-copy halafu kandamiza Alt key halafu bonyeza Print Screen SysRq, kisha paste sehemu unapotaka....wakuu naweza vipi ku post caption ya screen???????
sijui nimeeleweka??
yani una capture display ya screen yako inakua kama ni picha na una i post labda kama una mpa mtu maelekezo, lets say unamwambia afungue folder flani, then afanye vipi, sasa unamwonyesha kwa hzo picha ulizo capture kwa screen
Nenda HAPA
Thred kama hiyo ipo utapata shule nzuri mimi nimejulia hapo kama inavyo onekana hapo chini
View attachment 57644
Select window ambayo unataka kui-copy halafu kandamiza Alt key halafu bonyeza Print Screen SysRq, kisha paste sehemu unapotaka....
BIG-UP members it works!