Naombeni maoni

Naombeni maoni

elishababuh

Member
Joined
Oct 6, 2014
Posts
30
Reaction score
0
Hivi demu wako hataki ujiunge na FB ukakubali kutokujiunga nayo mwisho wa siku uko na msela wako ambaye yupo Facebook na unajua ameoa anakuambia kuna demu ambaye anatafuta mwanaume, unamwambia utakikumjua lakini anakulazimisha kumwona unakuta ni demu wako je ungefanyaje kama ni wewe?

Please jibuni kwa makini
 
div.5 itatasumbua sana sidhani kama una elimu yako ya uhakika unaweza ukauliza swali kama hili. la sivyo akili zako ziko fyatu
 
sasa nifanye nini hapo kila kitu kipo wazi

alafu huyo bibie wako hajakua kiakili kakua kimwili tu akili zake ziko mgando na ww vilevile umekatazwa kuingia fb yeye kaingia anatafta nini????
 
Hata hili nalo ni la kuuliza?
 
Hivi demu wako hataki ujiunge na FB ukakubali kutokujiunga nayo mwisho wa siku uko na msela wako ambaye yupo Facebook na unajua ameoa anakuambia kuna demu ambaye anatafuta mwanaume, unamwambia utakikumjua lakini anakulazimisha kumwona unakuta ni demu wako je ungefanyaje kama ni wewe?

Please jibuni kwa makini

aaaa ndio yule yule
Wadau wa JF naomba maoni kwa hili, umemtongoza demu akakubali poa lakini ulikuwa unataka kupita naye tu akakuuliza jina ukamdanganya kwenu pia ukamdanganya halafu mwisho wa siku upo home umekaa unasikia geti linagongwa mama yako anaenda kufungua anakutana na mwanamke anamuulizia mtu kwa jina lile ulilo mdanganya sauti unaijua mama anasema hamjui lakini anatoa mwonekano wako wote na mama yako anasema mbona huyo ni fulani na sio jina hilo unalosema anakuita kwa jina lako kamili wewe ungemfanyaje?
 
Way back facebook ulazwe mahala pema peponi
 
Hivi demu wako hataki ujiunge na FB ukakubali kutokujiunga nayo mwisho wa siku uko na msela wako ambaye yupo Facebook na unajua ameoa anakuambia kuna demu ambaye anatafuta mwanaume, unamwambia utakikumjua lakini anakulazimisha kumwona unakuta ni demu wako je ungefanyaje kama ni wewe?

Please jibuni kwa makini

Duh!.....

Kwahiyo hii hoja hii makini inahitaji majibu makini!?

Asanta.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom