Naombeni maoni

Naombeni maoni

Enzi hizo facebook niliwahi kutongozana na dem wangu kwa account fake,ye anatumia fake na mimifake,tulivyofall in love kwa account fake acha tu,kuja kugunduana tukapeana vibuti roho safi
 
Hivi demu wako hataki ujiunge na FB ukakubali kutokujiunga nayo mwisho wa siku uko na msela wako ambaye yupo Facebook na unajua ameoa anakuambia kuna demu ambaye anatafuta mwanaume, unamwambia utakikumjua lakini anakulazimisha kumwona unakuta ni demu wako je ungefanyaje kama ni wewe?

Please jibuni kwa makini

tujibu kwa umakin pumba kama hizi?
Peleka kwa watoto wenzako kisa umejifunza kupost ndio unatuletea utumbo wa nguruwe.

Acha kujaza server bure nyau ww
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom