Niache Nteseke
JF-Expert Member
- Apr 29, 2020
- 1,959
- 2,177
Nenda Youtube search "Superbowl half time dhow 2022"Heshima kwenu wakuu.
Kuna show moja kali sana ikijumuisha Mary J. Blige, Dr. Dre, Snoop Dogg, Eminem, 50 Cent, Kendrick Lamar et al.
Naomba kama kuna mtu ana link ya full show anisaidie nitazame unyama wa hawa jamaa aisee.
Najua JF ni kisiwa kikubwa kilichosheni wadau wa kila aina, hivyo natumai ombi nimelileta sehemu husika kabisa wakuu.
Natanguliza shukran zangu za dhati kwenu wakuu.
Thanks in advance.
YouTube naona ni short clip Tu,sijajua wanawekaga full wapiNenda Youtube search "Superbowl half time dhow 2022"
Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
We kumbe super bowl tayar, Nachojua YouTube inakuwaga ipo
Nenda Youtube search "Superbowl half time dhow 2022"
Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
Ni zaidi ya dk 14 ambayo ipo youtube?Wakuu Chief-Mkwawa, Scars et al...!
Ni zaidi ya dk 14 ambayo ipo youtube?
Ni zaidi ya dk 14 ambayo ipo youtube?
Full show ilikuwa dakika ngapi?Naweza kupata link ya Full show mkuu...?
Full show ilikuwa dakika ngapi?
Nimecheki kote hadi official nfl site ni dk 14, wameandika Half time show, Pengine ni show ndogo tu ya mapumzikoSijajua ni dakika ngapi bro ila nimewaza tu kuwa show kubwa kama ile haiwezi kutumia robo natumai itakuwepo yenye dakika nyingi zaidi, mwanzo mpaka mwisho wa show mkuu...!
Mkuu running time ya show ni dakika 12-15 kwa hiyo hiyo uliyoiona ndio yenyewe hakuna ya ziadaWakuu Chief-Mkwawa, Scars et al...!
Sijajua kiongozi labda ni kweli ngoja tumuulize jamaa yetu hapa atuambie.
Eti mkuu Jorge WIP hiyo show inakuwa na dakika chache kiasi hiko mkuu...?
hiyo ni halftime Show inakuwaga hivyo wakati wa mapunziko(American football) sio concert ya kukesha kama ulizan hivyo... huku kwetu tuna normal football hao wanaiita soccer kwahiyo ni dakika chache kama mech ya simba na yanga mapunziko diamond apige show
Ukitaka full labda uwe unataka kuangalia mechi uone touchdowns
Iliyopo ndiyo full mkuu dakika 14.
Mi niliangalia Superbowl live mwanzo mwisho..hiyo unayoiona ndio full..Mkuu YouTube wameweka short clip sio Full show ndio maana nikaja kuwaomba mnisaidie coz nilishapita YouTube mkuu. Tusaidiane kiongozi...!