Naombeni link ya 2022 Pepsi Super Bowl LVI halftime full show wakuu. Thanks

Aiseee hii ni show
acha America iwe America
dk 14 ila unatamani iwe 24 Hrs
Hawa wazee wa kazi hakika vizazi na vizazi wataishi
yaani utazani ni nyimbo za mwaka huu 2022.
Kazi zao zitaishi daima
Dr Dre anajua aisee!
Best performance
uwanja umepangiliwa haswa!
Yaani kila kitu ni kizuri!
hapa unaondoka moyo mweupe show ikiisha coz hela yako imeenda kihalali!
IMG_3048.jpg

Imebidi niiweke kwenye simu zangu zote
ukitaka uifurahie tumia earphones classic
Then turn up the volume!
shangwe la watu ni balaaa uwanjani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom