Tulibhalega JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 461 Reaction score 350 Dec 23, 2013 #1 Nitapata wapi kitabu kiitwacho "MASIMULIZI JUU YA WASUKUMA" kilichoandikwa na JOHN M. MASUHA mwaka 1963
Nitapata wapi kitabu kiitwacho "MASIMULIZI JUU YA WASUKUMA" kilichoandikwa na JOHN M. MASUHA mwaka 1963
tpaul Platinum Member Joined Feb 3, 2008 Posts 27,098 Reaction score 27,569 Dec 24, 2013 #2 Sima70 said: Nitapata wapi kitabu kiitwacho "MASIMULIZI JUU YA WASUKUMA" kilichoandikwa na JOHN M. MASUHA mwaka 1963 Click to expand... jaribu kule kitumbini karibu na msikiti ulio jirani na viwanja vya mnazimmoja. kuna watu wanauza vitabu vya zamani maeneo hayo, huenda ukavikuta kule mkuu. ukivikosa hapo nenda kule UD. natumaini utafanikiwa.
Sima70 said: Nitapata wapi kitabu kiitwacho "MASIMULIZI JUU YA WASUKUMA" kilichoandikwa na JOHN M. MASUHA mwaka 1963 Click to expand... jaribu kule kitumbini karibu na msikiti ulio jirani na viwanja vya mnazimmoja. kuna watu wanauza vitabu vya zamani maeneo hayo, huenda ukavikuta kule mkuu. ukivikosa hapo nenda kule UD. natumaini utafanikiwa.