fadhilidaudi
Member
- Jun 16, 2019
- 7
- 1
tafadhar anaefaham anisaidie
tafadhar anaefaham anisaidie
Benki husika inatakiwa iingize namba yako kwenye mfumo wao ndipo ukipewa USSD code za hiyo benki ndipo utaweza kutumia Mobile benking"naomben msaada Wa no unazobonyeza ili kujiunga na mobile bank"
nmbAcha kukurupuka sema unatumia bank gani
Acha kukurupuka sema unatumia bank gani
Benki husika inatakiwa iingize namba yako kwenye mfumo wao ndipo ukipewa USSD code za hiyo benki ndio utaweza kutumia Mobile benking
Mfano wa USSD kwa baadhi ya benki ni hizi
*150*66# - NMB
*150*34# - BancABC
*150*99*321# - FNB Bank
Ukijaribu kupiga hizo code, utaona namba yako haitambuliki, hivyo anzia benki husika
Fika benki, Jaza fomu yao husika, ndipo ukipiga hizi codes *150*66# - NMB utaweza pata access ya account yako.
Umeshindwa kugoogle ukaona uje ufungue thread Jf.....
Ni usumbufu wa hali ya juu wakati angeweza kugoogle akapata jibu la swali lake...anatusumbua au sio?
Ni usumbufu wa hali ya juu wakati angeweza kugoogle akapata jibu la swali lake...
We kilichokufanya ufungue hii thread ni nini? Hv mnashindwaga kujua maana ya social media au mnajitoa ufahamu tu?Umeshindwa kugoogle ukaona uje ufungue thread Jf.....
hahahaha daah ndio kimeota nyasi aiseeDogo kibarua chako kimeota nyasi
Dogo anataka kumrudisha mwajiri wake kijijinDogo kibarua chako kimeota nyasi
, daahDogo kibarua chako kimeota nyasi
Kwamba dogo kacheza tatu mzukaDogo kibarua chako kimeota nyasi
Shukraan! Nami nimefaidika!Benki husika inatakiwa iingize namba yako kwenye mfumo wao ndipo ukipewa USSD code za hiyo benki ndipo utaweza kutumia Mobile benking
Mfano wa USSD kwa baadhi ya benki ni hizi
*150*66# - NMB
*150*34# - BancABC
*150*99*321# - FNB Bank
Ukijaribu kupiga hizo code, utaona namba yako haitambuliki, hivyo anzia benki husika