naomben msaada Wa no unazobonyeza ili kujiunga na mobile bank

tafadhar anaefaham anisaidie
"naomben msaada Wa no unazobonyeza ili kujiunga na mobile bank"
Benki husika inatakiwa iingize namba yako kwenye mfumo wao ndipo ukipewa USSD code za hiyo benki ndipo utaweza kutumia Mobile benking

Mfano wa USSD kwa baadhi ya benki ni hizi
*150*66# - NMB
*150*34# - BancABC
*150*99*321# - FNB Bank

Ukijaribu kupiga hizo code, utaona namba yako haitambuliki, hivyo anzia benki husika
 
asant sana ndugu
Benki husika inatakiwa iingize namba yako kwenye mfumo wao ndipo ukipewa USSD code za hiyo benki ndio utaweza kutumia Mobile benking

Mfano wa USSD kwa baadhi ya benki ni hizi
*150*66# - NMB
*150*34# - BancABC
*150*99*321# - FNB Bank

Ukijaribu kupiga hizo code, utaona namba yako haitambuliki, hivyo anzia benki husika
 
Umeshindwa kugoogle ukaona uje ufungue thread Jf.....
We kilichokufanya ufungue hii thread ni nini? Hv mnashindwaga kujua maana ya social media au mnajitoa ufahamu tu?
Basi hata kwenye vijiwe vyetu tunavyokaaga mtaani tusianzishe story tuwe tunaenda kugoogle tu basiiii
 
Uzi huu umekuponza kijana ila maisha lazima yaendelee, pambana utatoka tu, tunajifunza kutokana na makosa.
 
Benki husika inatakiwa iingize namba yako kwenye mfumo wao ndipo ukipewa USSD code za hiyo benki ndipo utaweza kutumia Mobile benking

Mfano wa USSD kwa baadhi ya benki ni hizi
*150*66# - NMB
*150*34# - BancABC
*150*99*321# - FNB Bank

Ukijaribu kupiga hizo code, utaona namba yako haitambuliki, hivyo anzia benki husika
Shukraan! Nami nimefaidika!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom