mimi ni msichana wa miaka 26. Kila ninapopata boyfriend
nikijaribu tu kumwambia mimi ni bikra anapunguza mawasiliano
na ndo inakua,mwisho wamimi na yeye,nashindwa kuelewa ninakosea,
kusema ukweli au? Naombeni ushauri please.
Kama kweli wewe ni bikira kanza nakupa hongera na pongezi kwa kujitunza..hao unawambia bado ni bikira wanakimbia wanataka kukuchezea.kuwa na msimamo na endelea kujitunza mpaka usiku wa ndoa yako.usoiangalie watu wanaseamje angalia ndoto yako nini kwa mume wako.
Mimi nilifunga ndoa na mke wangu kwa kukaanaye kwa miaka 4 bila kukutana kimwili.alikuwa ananiambia bado nibikira japo ilikuwa ni ngumu kuamiani ila baada ya kufunga naye ndoa ukweli alikuwa bikira..
Nilijisikia fahari sana usiku wa harusi yetu..na amenijengea heshima na uhaminifu mkubwa kwa hiyo sina wasiwasi naye..kama aliweza kujitunza akiwa bado binti mpaka miaka 28,huwa sina mashaka naye mda wote
Jitunze mpaka Mungu atakapo kupa ubavu wako ,,kuwa imara na wala usiyumbishwe na hao vijana.yupo ayayekuja kuwa pamoja na wewe wakati wote..
HONGERA AND BIG UP!..
kama kweli wewe ni bikira kanza nakupa hongera na pongezi kwa kujitunza..hao unawambia bado ni bikira wanakimbia wanataka kukuchezea.kuwa na msimamo na endelea kujitunza mpaka usiku wa ndoa yako.usoiangalie watu wanaseamje angalia ndoto yako nini kwa mume wako.
Mimi nilifunga ndoa na mke wangu kwa kukaanaye kwa miaka 4 bila kukutana kimwili.alikuwa ananiambia bado nibikira japo ilikuwa ni ngumu kuamiani ila baada ya kufunga naye ndoa ukweli alikuwa bikira..
Nilijisikia fahari sana usiku wa harusi yetu..na amenijengea heshima na uhaminifu mkubwa kwa hiyo sina wasiwasi naye..kama aliweza kujitunza akiwa bado binti mpaka miaka 28,huwa sina mashaka naye mda wote
jitunze mpaka mungu atakapo kupa ubavu wako ,,kuwa imara na wala usiyumbishwe na hao vijana.yupo ayayekuja kuwa pamoja na wewe wakati wote..
Hongera and big up!..
mimi ni msichana wa miaka 26. Kila ninapopata boyfriend
nikijaribu tu kumwambia mimi ni bikra anapunguza mawasiliano
na ndo inakua,mwisho wamimi na yeye,nashindwa kuelewa ninakosea,
kusema ukweli au? Naombeni ushauri please.
@casico aliyekuruhusu kutoa ushauri hapa ni nani?.......aliyekwambia mtoa mada ni jinsia ya kike ni nani?....... BADILI TABIA nilivyosikia unaniita nimekuja mbio nikijua unaniitia kitu cha maana kumbe ni haya maigizo hapa?????....siku ingine akitokea mwigizaji kama huyu usiwe unaniita sawa eeh....uwiiiiiiii my ribs! lis hiyo ndio sifa nzuri kwa mdada yeyote mwaya, usiitoe kwa kidole wala mtwangio halisi. atatokea tu ambaye atakuthamini na kuithamini. so vumilia muda bado. take care.
mthamaha naomba sweetlady, sirudii tena! sikujua miiko ya jei efu, uwe unanifunza taratibu kwenye PM.@casico aliyekuruhusu kutoa ushauri hapa ni nani?.......aliyekwambia mtoa mada ni jinsia ya kike ni nani?....... BADILI TABIA nilivyosikia unaniita nimekuja mbio nikijua unaniitia kitu cha maana kumbe ni haya maigizo hapa?????....siku ingine akitokea mwigizaji kama huyu usiwe unaniita sawa eeh....
mthamaha naomba sweetlady, sirudii tena! sikujua miiko ya jei efu, uwe unanifunza taratibu kwenye PM.
mimi ni msichana wa miaka 26. Kila ninapopata boyfriend
nikijaribu tu kumwambia mimi ni bikra anapunguza mawasiliano
na ndo inakua,mwisho wamimi na yeye,nashindwa kuelewa ninakosea,
kusema ukweli au? Naombeni ushauri please.
Gold hiyo mamii.KIP IT for ur future fiancee.
ma-fiancee ni wasepaji wakubwa pia, labda asubiri apate mume kabisa
mimi ni msichana wa miaka 26. Kila ninapopata boyfriend
nikijaribu tu kumwambia mimi ni bikra anapunguza mawasiliano
na ndo inakua,mwisho wamimi na yeye,nashindwa kuelewa ninakosea,
kusema ukweli au? Naombeni ushauri please.[/QUOTE lis kwa sababu ya ukweli wako ndio maana hao wachumba wako wanakukimbia kwani hao wachumba wako hawako Serious na wewe kukuowa wanachotaka kwako ni kufanya mapenzi
na wewe kisha wakuache njiani hawana nia nzuri na wewe unachofanya ni kitu kizuri sana laiti ningelikuwa mimi mmoja wapo unaniambia hivyo ningelikuja kwenu kukuposa moja kwa moja mkuu kama ni kweli wewe ni bikra usijaribu kufanya
mapenzi nao kwani ukifanya na Mmoja wao hao wachumba zako hawata kuowa kabisa chunga bikra yako utapata mtu aliyekuwa Serious na wewe kukuowa nakutakia kila la kheri bibie.
badili TABIAMkuu nimesha mjibu Bibie lis