Naomba wazo la biashara /kilimo mtaji 400,000/=

Kandulla

New Member
Feb 26, 2021
3
0
Mimi ni kijana wa kiume (25) nipo Dodoma nahitaji kufanya biashara nina mtaji wa shilingi laki Tano tu 500,000. Je nifanye biashara gani itakayonipatia faida na kukuza kipato changu. Nina ujuzi wa kumpyuta na ualimu tu.

Mawazo yenu wakuu.

Asanteni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom