Naomba Uzoefu wenu, Umekutana na rafiki yako wa kiume wa zamani, Moyo unapasuka paaaaah

Yani na ndio maana naupinga huu moyo....UWE NA SUBIRA MOYO WANGU WEWE

....lol, I can only imagine hiyo sala na funga yako utakuwa unaombea 'iwe kweli!'...he he he...
BTW, ....huyo uliyenaye sasa aanze kuhesabu 40yake?...he he...LD funguka wee!
 
  • Thanks
Reactions: LD
Kwanza pole sana kuchukua muda kufikiri sana. Pili ni jambo la kawaida kujisikia hivyo kwa mtu uliyemfia kimahaba.
Ushauri; tafuta ukaribu na kaka huyo, jitoe hata kumpiga outings kadhaa. Zungumzeni mambo ya maisha mkirejea mlikotoka. Jiheshimu kwake na usijirahisi kiasi hicho. baada ya kuanzisha mawasiliano hayo kwa kipindi fulani utagundua kilicho moyoni mwake. Tunza uadilifu wako -kama unao...huenda na yeye anajisikia unavyojisikia mtakapotumia muda wa kutosha kwenye mahusiano mtafahamiana na kujua kila mtu anayowaza juu ya mwingine.
 
Nashukuru kwa ushauri mzuri namna hii....Ubarikiwe
 
imebidi nicheke kwanza.......hebu ckiliza kawimbo ka body to body wa dirty ft chriss brown...hope utapata jibu kamili nini cha kufanya.
 
  • Thanks
Reactions: LD
Hata mm moyo unanipasuka kinoma nnaposoma hii thread yako,...y? wana jf naomba ushaur nami duh!!
 
  • Thanks
Reactions: LD
If you decide to follow your heart then the first and fore most luggage shud be your brain and not cosmetics
 
Back
Top Bottom