Naomba Uzoefu wenu, Umekutana na rafiki yako wa kiume wa zamani, Moyo unapasuka paaaaah

kwa nini unahisi mimi wakati kuna member kashakwambia ndio yeye?

We mamaya acha kunizingua bwana....kwanza hunishauri nifanyeje ili nisiendelee kupasuka....unaniuliza uliza maswali tu. Toka zako bwana.
 
mshiki kule fb hakuna uhuru kama hapa jf,hawezi kufunguka kule,mwache afunguke hapa apunguze msongo.

DUh haya bwana, iendeleze thread basi, nikija unipe majibu. Sawa Uncle?
 
mdogo wangu ogopa sana wanaume hapo yawezekana anapelekwa na tamaa tu ana mtu tayari cha kufanya piga moyo konde upate muda wa kumuchunguza tabia yake kwa sasa hawezi kwenda mazima kama anakupenda. kama ni tamaa tu lazima ataenda mazima we kutana nae jitahidi kuficha hisia zako we ni mtoto wa kike. muweke wazi kama ana nia na wewe lazima utaona dalili kuliko ufunguke alafu baadae alale mbele utaumia sana mdogo wangu
 
  • Thanks
Reactions: LD
We mamaya acha kunizingua bwana....kwanza hunishauri nifanyeje ili nisiendelee kupasuka....unaniuliza uliza maswali tu. Toka zako bwana.

Msisitizo kumbushia style zote za zamani ya kale ni dhahabu msisitizo
 
  • Thanks
Reactions: LD
mkuu ile kitu haina makombo,note hivyo mkuu,hata kama ni used vp.

Najua haiishiwi utamu.Lakini si unajua utamu wenyewe inategemea pysycology umeiwekaje.Lakini pia binti anavyokuja kasi..unafikiri jambo la kwanza kulifanya si ndio hilo...ukaguzi
 
  • Thanks
Reactions: LD
Najua haiishiwi utamu.Lakini si unajua utamu wenyewe inategemea pysycology umeiwekaje.Lakini pia binti anavyokuja kasi..unafikiri jambo la kwanza kulifanya si ndio hilo...ukaguzi

Duhh unakagua kama imetoka kutumika au ilikuwa inatumika?
 
  • Thanks
Reactions: LD
Usifunguke aisee atakuona wangu wangu sana, jikaze mpe muda kama ana nia ya zaidi, ataanza mwenyewe. Sisi wanaume ukijileta huwa hatuna adabu hata kidogo, huwa tunakula hata kama tuna commitment zingine na kusepa. So ni vzr ukaucontrol moyo wako, usije ukajidhalilisha kwa kukosa subra.
nimependa ulivoandika unaonekana ni muadilifu sana na unajali hisia za watu..............thats cool i like that
 
Kama ni over used ili afanye depreciation...kwa sababu maintanance cost itakuwa kubwa.Kama hata maintanance haitoshi anai-dump

Kuna jamaa angu anauza sabuni za kurudisha heshima ya ndoa mwanamke akitumia hiyo kitu kinasinyaa kabisa
 
nimependa ulivoandika unaonekana ni muadilifu sana na unajali hisia za watu..............thats cool i like that

Na mm nimependa sana ulivyo comment inaonyesha wewe mwanamke mwema sana
 
hakuna ushauri katika hii level uliyofikia, mapenzi huwa yanashaurika pale yanpokuwa yameleta matokeo yasiyotalajiwa na mmoja wapo. Kwa sasa you are on your own, deep down hata wewe unjua hilo. Ila ukija kichwa mikono nyuma i will be there for u..
 
  • Thanks
Reactions: LD
Habari za siku nyiki wapendwa kaka na dada, nimejitokeza kwenu, kuomba ushauri na uzoefu wenu katika hali kama hii nayoisikia sasa. Sio lazima nikisema mimi iwe ndio mimi kabisa eeh. Yawezekana namwakilisha mtu ila najiita mimi. Manake wapwa hamchelewi kuunganisha dots hapa.

Mwenzenu kulikuwa na kaka mmoja, alikuaga rafiki yangu wa barua enzi zile primary na sekondari. Si haba tuliwasiliana hadi form six, wakati yeye akiwa anasoma shule tofauti kabisa na mimi. Baada ya kumaliza Form six akaenda kusoma chuo Nje ya nchi. Huko Ughaibuni.

Sasa mie si nikabaki bongo, nikajua ndio nitolee tena, sasa we majuu na mie bongo wapi na wapi. Mmmmh nikamsahau kabisa, nadhani na yeye akanishau kabisa. Nikachukulia kama ilikuwa ni utoto tu wakati huo. Uzuri au ubaya urafiki wetu haukufika mbali sana. Uliishia kwenye karatasi, kuandika kwa kalamu ya kunukia na kupulizia marashi :)

Sasa maisha yakaendelea hivyo, nikawa nimeingia kwenye mtandao mmoja wa kijamii, nikamuona, lakini kwa kuwa nilijua yuko majuu, mie nikaogopa hata kumwandikia. Mmmh mi nikawa nipo na jina lingine, sio jina langu halisi lililozoeleka, kwa hivyo isingekuwa rahisi kunitambua.

Mmmh siku moja nikakutana na marafiki wengine ambao tulikuwa tunasoma pamoja na huyo kaka, tukapiga stori za hapa na pale, tukikumbukia enzi za maisha ya sekondari. Mmh si tukajikuta tunamuongelea na huyu kaka. Basi yale maongezi yakapelea mimi kuamua kumwandikia yule rafiki na kujimbulisha kwake.

Uuuuh, ikawa kama sikukuu, hakuamini, loooh, kumbe alisharudi bongo na anafanya kazi hapa. He! tukapeana namba za simu. Duh roho si ikaanza kunipasuka! Duh tunachat tunapiga stori za zamani na sasa, looh moyo unanipasuka. Nikitoka ofisini nikifika nyumbani, naanza kuandika tena sms tunachat...loooh nikaanza kujistukia.

Mbona moyo unanipasuka hivi? Yani huyu kaka ndio ananipasua moyo kiasi hiki, situlii, nataka kumsikia tu, hata akiandika sms. Duh asubuhi natamani ifike niingie online nimuone.

Jamani hii hali imewahi kukuta? Na je ukiwa kama binti au kaka ulifanya je? Manake sasa najiona nitaanza kumshobokea halafu niumie. Mmmmh nikifungukaa mazima kwake itakuwa je? Duh ataniona je kwanza?

Anasomeka yuko single na mimi niko single kwa maana kwamba hata kama ana mtu sio ndio kashafanya maamuzi :).........dah dah Moyo una kihere here huu. NA SIJUI yeye kama moyo wake una kihere here na mimi kiasi hiki nilicho nacho mimi. Au niendelee tu kukomaa kuwa mgumuuuuuuuuu afu anabadilika anakuwa kaka, au ananipotea tena kabisa.

Manake kwa jinsi moyo unavyonipasuka ni kwamba naweza funguka wajameni, halafu nikifunguka baadaye kitatokea nini? Si nitakuja kulia mie?

Hebu mshaurini dada yenu.

....lol, hebu sema na moyo wako bana....
hii mioyo mingine vipi lakini, imekuwa kama jiko la mchina!
Wangu mie kama jiko la kuni, puliza puliza na wewe sishtuki ng'o!
 
  • Thanks
Reactions: LD
....lol, hebu sema na moyo wako bana....
hii mioyo mingine vipi lakini, imekuwa kama jiko la mchina!
Wangu mie kama jiko la kuni, puliza puliza na wewe sishtuki ng'o!

ha ha ha Mbu mzee....nilitegemea kupata bunge la nasaha.

Hapa nachoona ni kuchukua uhauri wa baadhi ya watu hapa...halafu naanza Novena siku Tisa. Nafunga nakuomba juu ya hili.

Hiyo ndhani itakuwa SOLUTION tosha!!!! Na nitapata majibu
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Kuna jamaa angu anauza sabuni za kurudisha heshima ya ndoa mwanamke akitumia hiyo kitu kinasinyaa kabisa
Yani kurudisha heshima mpaka umnawishe mwenzi wako na magadi ili K ikakamae halafu umrukie ikiwa kavu?????

wewe kijana sasa naona maisha ya magomeni yamekufanya mbaya!!

Heshima inarudishwa hivi......mamaa apate kila kitu kwa kadiri ya uwezo kwa maana ya material things
HALAFU, apate attention yako vizuri,...wewe jamaa angu unafikiri heshoma inarudishwa kwa kumrukia na kukandamiza masaa sita?

unaweza ukarukia ukakaa mpaka kukakucha, halafu ukiondoka kwenda kibaruani, na yeye anaenda kwa mkunaj wake ambaye akiingiza tu, anakojoa. yani wewe unakuwa ulikuwa unalimia wengine!!!

Coming from experienced, well informed and a dedicated husband.
 
Kwani bro heshima hiyo inavyo rudishwa wewe unashikilikishwa? Anajifanyie yeye mwenyewe ila wewe siku ya kuzama ndo unakuta kugumu kweli mpaka utumie tindo kutitundua
 
ha ha ha Mbu mzee....nilitegemea kupata bunge la nasaha.

Hapa nachoona ni kuchukua uhauri wa baadhi ya watu hapa...halafu naanza Novena siku Tisa. Nafunga nakuomba juu ya hili.

Hiyo ndhani itakuwa SOLUTION tosha!!!! Na nitapata majibu

Lol....nimekupiga dongo
hujakata tamaa tu! ...he he he...

Well, kwakuwa wataka kusikia kusikia +ves pekee...
fuata moyo wako! 2012 dunia ni yako, maamuzi ni yako:eyebrows:
 
  • Thanks
Reactions: LD
Aseeee achana na mimama ya magomeni, haijui mapenzi.

Hebu msaidie LD hapa ili akumbushie vizuri zaidi
 
  • Thanks
Reactions: LD
Back
Top Bottom