figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 27,659
- 62,656
taratiibu nina maswali. Pm ni nn? Mia ni nn? Nina was nawee kua mshobokaj wa ke. Nitakuamin vip?
hahahahahahah! MIA!
Mkuu huu ni mwanzo, usitake kujua mambo yote kwa wakati mmoja. hata kwa sauti tu utaweza nigundua kama mimi ni ke au me. halafu ukitaka kujua "MIA" ni nini angalia kwenye profile yangu. Naomba uniulize maswali yanayo nihusu mimi tu. pm ni ujumbe wa siri(private msg).kuhusu utaniamini vipi ni wewe na moyo wako.kama una moyo wa iman utaniamin. untumie contact kwenye pm. mia
cmu yangu uwezo mdogo siwez private msgin. Kama upo crias san mambo ya mapenzi nipo off kwa mda. Kama vip mwenyewe utachek.
@Asprini, jinsia yangu me. nimekimbia FB sbb ya kufanyiwa ushenzi sitaki huo ushenzi ujirudie ndio maana nimefunga.
mbona simu ndo ipo powa kwa mambo ya pm? mi nimeshachek naona poa tu. kama upo off kwa mda hamna tabu hata mimi ntakusubili kwa mda kwa kua naona unaonyesha ushirikiano. kwa maneno yako naona ushakubali. asante kwa kuwa mpenzi wangu.Mmwaa..!!. Mia
Kama upo crias san mambo ya mapenzi nipo off kwa mda
@ figgarniggar ngoja nipate cv yako.
hahahaha WE MCHIZI M'BISHI
@ figgarniggar ngoja nipate cv yako.
Najisikia mpweke sina marafiki hapa Jamii Forums.:grouphug: Wa face book wameniharibia maisha siwataki tena.
.nyooote mlonifariji nimewatumia rekwesti ya urafk. ciaaaoooo!πoa