Naomba ushauri

Naomba ushauri

Ndo kanipenda hivo hivyo sijatulia na nimeshakujua sasa nikuone unajisogeza kwake na kwangu sitaki ujirani wala urafiki nawewe.......et sijatuliaaa! unadhani navyosemaga namichepuko ni kweli shoga?? zile ni stori za kunogesha kijiwe shoga
Na kwataarifa yako mwezi ujao wanaleta posa

mpe mpe mpe watu weweeeeeeeeeeeee! uko vizuri.
 
You wanna steal the guy, just go ahead, and keep him til someone else steals him from you. Desperateness kills.
 
Hello guys,

I need ur help, Nlivyokua nasoma sikutaka kujiusisha na mapenzi..ingawa nlipata challenges nyngi nashukuru mungu nkamalza had form six bila shida.

Baada ya shule I real wanted niwe kweny mahusiano, kila aliyentokea kabla sijamjibu nilimchunguza almost wote sikupata ninae mtaka as days went on, nikakukutana na mtu ambae nahisi ndio nliyekua namtafuta.

Ajanitokeana wala hatujazoeana, nlitokea kumpenda kiukweli, nkaamua nimchunguze, kwa uchunguzi wangu nimegundua ana mchumba ambae ni jirani yetu, niliamua nmuachie huyo dada lakini cha kushangaza huyo dada ajatulia.

Nifanyaje? ushauri

Kwa hyo unataka ujiweke ww kwa kuwa huyo jirani ajatulia.ushaur wako umesema unataka mtu ambaye umemchunguza na kuridhika naye so uoni kuwa hilo ni tatizo kujiweka kwa mchumba wa mtu.utaumizwa mama kashapendwa mtu hapo japokuwa ww unamuona huyo jirani yako ajatulia
 
Ww hilo ni pepo, acha kabsa. cha msingi rudi kwnz kanisani na mungu atakupa mume mwema, la cvyo jiandae kuwekwa matara

Acha kiherehere...kila kitu pepo? Hapo kuna pepo gani hata kama wewe ni mchungaji tumia pia akili ya ziada uliyonayo.Halafu mungu ndio nini?
 
Hello guys,

I need ur help, Nlivyokua nasoma sikutaka kujiusisha na mapenzi..ingawa nlipata challenges nyngi nashukuru mungu nkamalza had form six bila shida.

Baada ya shule I real wanted niwe kweny mahusiano, kila aliyentokea kabla sijamjibu nilimchunguza almost wote sikupata ninae mtaka as days went on, nikakukutana na mtu ambae nahisi ndio nliyekua namtafuta.

Ajanitokeana wala hatujazoeana, nlitokea kumpenda kiukweli, nkaamua nimchunguze, kwa uchunguzi wangu nimegundua ana mchumba ambae ni jirani yetu, niliamua nmuachie huyo dada lakini cha kushangaza huyo dada ajatulia.

Nifanyaje? ushauri

Dada nakushauri utulie na kumwomba Mungu kama ni wako utampata tu,na kama sio pia ni kwa faida yako vilevile kwasababu ukiforce utakuja kujuta.
 
Wabongo tuna shida sana,
Kutulia au kutotulia kwa huyo dada wewe hakukuhusu
Subiria muda wako ukifika kama wataachana
 
Kuna kila dalili za mtoto wa kike kukigawa kwa mwendabure kitumbua alichohangaika kukitunza miaka nenda rudi...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom