ndoa itafugwa tunda litamegwa ole wake bikira iwe imetoka kwa michezo ya rede,kipande kuendesha baiskeli atasimulia
jamaa atakuwa anajua kuliko yeye na hawakawii kutuita majina kama..........
1. mkewangu mzuri na ninampenda sana lakin kitandani hajui kitu
2. hajishughukishi kabisa yupo ka gogo
3. kimoja tu anadai ameshoka
4.kubwa na inamaji mpaka tudeki
uzoefu unahusika
mwisho mi namuasha hanifai demu gani huyu ni bora niende kwa ummy (muuza bar)anayajua mapenzi.
Nshaishuhudia kwa shost wangu hii, baada tu ya ndoa karudi kulalamika mambo ya 6*6 hayaendi vzr wamekaa kidogo wameachana, kuonja nako kuna mchango wake lakini.....
Kwanza hongera kwa kuweza kuvumilia vishawishi vingi ulivyokutana navyo toka kwa wanaume mbali mbali kabla ya kukutana na huyu mtu wako. Kwa maoni yangu kama kweli ana mapenzi kwako muombe aendelee kuwa mvumilivu hadi mfunge pingu za maisha ila kama anaanza kukutishia kwamba usipompa atakuacha solemba basi mwambie safari njema.
yes tunapendana na ni mchumba angu wa kwanza, huu ni mwaka wetu watatu tumepanga kuoana mwakani december, ameshakuwa na wanawake 2 kabla ya mimi na kwa jinsi ninavyomuona naona hana msichana mwingine ila sina uhakika saaaanaHongera sana kwa kujitunza kama nikweli, naomba kufaham
i)kama unampenda na yeye anakupenda kweli,
ii)umekaa naye muda gani?
iii) ni mpenzi wako wa ngapi?
iv)unafikiria kuolewa wakati gani, na vp yeye mawazo yake kuhusu ndoa?
v)amewahi kuwa na mahusiano na wangapi kabla ya kuwa na wewe?
vi)Now una hakika kama anaye mwingine au hana? au na yeye ni bikra wa kiume? kama sio huwa anazitulizia wapi hisia zake?
naomba unijibu hayo nitakushauri, kama hutajali ni PM
kha!!! dada yangu nakuomba usimpanulie kabisa huyo mwanaume...yaani hasikuvue chupi kabisaaa. hataki amuache.
wanawake kama nyie wapo wachacbe lakini ndio wanawake wa kweli sio hawa wanao gawa utamu. keep it up!!!
Khaaa. ni wewe kweli???Siamini majicho yangu...kumbe mabadiliko yanawezekana
huyu nimemshauri hivyo koz ni bikira....angakuwa ameshagegedwa wala nisingemuonea aibu kumwambia apanue tuu. we men appreciate ladies that view their K as something precious...only to be touched by a man that has put a ring on her finger.
Hata sikuamini..wewe huna cha bikra wala nini ni mgegedo tu..God have mercyhuyu nimemshauri hivyo koz ni bikira....angakuwa ameshagegedwa wala nisingemuonea aibu kumwambia apanue tuu. we men appreciate ladies that view their K as something precious...only to be touched by a man that has put a ring on her finger.
jaribu kutoa ushauri wako kama jinsi mtu alivyoomba na sio kukanusha ushauri wa mtu, am serious na ushauri ninaoomba and you u hav to be serious on it! Owky???Hata sikuamini..wewe huna cha bikra wala nini ni mgegedo tu..God have mercy
Tatizo nini?kwani lazima nitoe ushauri hata kama sina? Kuna ubaya nikimquote mtu na kumjibu accordingly?jaribu kutoa ushauri wako kama jinsi mtu alivyoomba na sio kukanusha ushauri wa mtu, am serious na ushauri ninaoomba and you u hav to be serious on it! Owky???
huyu nimemshauri hivyo koz ni bikira....angakuwa ameshagegedwa wala nisingemuonea aibu kumwambia apanue tuu. We men appreciate ladies that view their k as something precious...only to be touched by a man that has put a ring on her finger.
cute junior ungekuwa mwenyeji hapa jamvini ungeelewa nnachomaanisha. Karibu uendelee kuchangia umu utamfaham mzabzab orijino.why mentor???
umeokoka wewe?
neggirl....usimdanganye mwenzio.
mimi ni msichana nina miaka 25 sijawahi kulala na mwanaume hata siku moja lakini mchumba angu ananilazimisha nikamuomba anisubiri mpaka tukioana lakini hanielewi naombeni ushauri wenu
mimi ni msichana nina miaka 25 sijawahi kulala na mwanaume hata siku moja lakini mchumba angu ananilazimisha nikamuomba anisubiri mpaka tukioana lakini hanielewi naombeni ushauri wenu
neggirl..kwanza una jina kama mwanayumba wangu.Mentor ndo maana nimesema kama ingekuwa ni mimi, so mshauriwa anaweza ku- buy idea au akapotezea. yani ishu ni kwamba siolewi ng'o bila kujua kama kipo au hakipo na kama kipo JE KINAFANYA kazi ?????? hicho ndo mkate wangu na tamu ya ndoa lol ...kwi kwiiiiii kwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii