kha!!! dada yangu nakuomba usimpanulie kabisa huyo mwanaume...yaani hasikuvue chupi kabisaaa. hataki amuache.
wanawake kama nyie wapo wachacbe lakini ndio wanawake wa kweli sio hawa wanao gawa utamu. keep it up!!!
Kama ndo mwanaume wake wa kwanza hawezi kujisikia kuwa mambo hayaendi sawa. Kwa sababu hana comparisons. Tatizo unapata wewe mwenye uzoefu kama mkurugenzi wa crdb. Umetumikia mabank 60 hadi ya kata na tarafa. Unaangalia nmb walinipaga nyumba, exim walinipaga gari baya baya, meridian bueau waliingia mtini hadi na account yangu. Actually maisha ni rahisi zaidi kama unaoana na mwenza wako wa kwanza, mnafundishana kwa raha zenu kuanzia a hadi z!
mwalimu wa hubby wangu, nini kinaendelea hapa??
SUBiRI HAPO HAPO! Asprin kuja umkague huyu dada, eti bado bikira! hubby u r letting me daunnnnnnn!mimi ni msichana nina miaka 25 sijawahi kulala na mwanaume hata siku moja lakini mchumba angu ananilazimisha nikamuomba anisubiri mpaka tukioana lakini hanielewi naombeni ushauri wenu
Umempa za uso huyo mkerewe.bhululu sijapenda ushauri wako!!!
yeah u do that...trust me sex before marrieage is over rated. kama anakupenda atasubiri
mwalimu wa hubby wangu, nini kinaendelea hapa??
yeah u do that...trust me sex before marrieage is over rated. kama anakupenda atasubiri
mimi ni msichana nina miaka 25 sijawahi kulala na mwanaume hata siku moja lakini mchumba angu ananilazimisha nikamuomba anisubiri mpaka tukioana lakini hanielewi naombeni ushauri wenu
naomba nikudese Mwanamalundi
THIS ISSSUE IS GETTING VERY SERIOUS
au ni kweli waliosema mwisho wa duni tar 21 mzabzab unanitsha ujue! Mentor mi mwenzio nabaki nashangaa tu hapa!
Is this coming from mzabzab!??? no ngoja nkanawe uso kwanza...
cute junior, usipoufuata ushauri wa mzabzab ntakuchapa!
mimi ni msichana nina miaka 25 sijawahi kulala na mwanaume hata siku moja lakini mchumba angu ananilazimisha nikamuomba anisubiri mpaka tukioana lakini hanielewi naombeni ushauri wenu
neggirl....usimdanganye mwenzio.Hongera mwaya.. ! But mmh.. If it was me ningefanya nae kimchezo cha majaribio kabla ya kufunga ndoa lol..may be baada ya kuwa na uhakika kuna ndoa let's say amejitambulisha na amekuvalisha pete.
Umesema uko tayari kwa lolote, but kuna mengine yatakuwa magumu kuvumilika na inaweza kuku cost sana.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums