******** hongera kwa hilo bt asikuambia mtu bora ujaribu ujue yukoje usije ukakutana na mabo kama yaliyo nikuta mm nilivumilia weeeeeee kuja kukuta kidume hana nguvu za kutosha haya kila la her*******
mimi ni msichana nina miaka 25 sijawahi kulala na mwanaume hata siku moja lakini mchumba angu ananilazimisha nikamuomba anisubiri mpaka tukioana lakini hanielewi naombeni ushauri wenu
Cute junior, ndoa ni ndoa, asikudanganye mtu, kufung ndoa ni kubariki upendo wenu unaousisha tendo la ndoa. Ndoa inaweza tenganishwa kama matatizo ya kimwili hayatovumilika kwa mwanandoa mmoja wapo. So kujaribu sio lazima. Mambo yakiwa sio mtajua na mwenzio cha kufanya. Ukimpa mtu, nakupa mwezi anakuacha. Trust me.
kha!!! dada yangu nakuomba usimpanulie kabisa huyo mwanaume...yaani hasikuvue chupi kabisaaa. hataki amuache.
wanawake kama nyie wapo wachacbe lakini ndio wanawake wa kweli sio hawa wanao gawa utamu. keep it up!!!
nitamvumilia kwasababu atakuwa ameshakua husband wangu no way out nitakubaliana na yote
thanx molepheCute junior, ndoa ni ndoa, asikudanganye mtu, kufung ndoa ni kubariki upendo wenu unaousisha tendo la ndoa. Ndoa inaweza tenganishwa kama
matatizo ya kimwili hayatovumilika kwa mwanandoa mmoja wapo. So kujaribu sio lazima. Mambo yakiwa sio mtajua na mwenzio cha kufanya. Ukimpa mtu, nakupa mwezi anakuacha. Trust me.
next year decemberkip it up dada, kwani mnatarajia oana lini, ule ngombe akushinde mkia, endelea subiri ingawa jiandae kupata challenge uzishinde tu
ufalme wa Mungu unashuka tukae tayari
bhululu sijapenda ushauri wako!!!
Jamani hutaniwi?
naomba basi ushauri mzuri ndugu yangu!!
mimi ni msichana nina miaka 25 sijawahi kulala na mwanaume hata siku moja lakini mchumba angu ananilazimisha nikamuomba anisubiri mpaka tukioana lakini hanielewi naombeni ushauri wenu
Acha ushamba wewe !!!!!!!!! Ile shughuli ya kuzindua pango si ya kitotoooo! Nusu ya kuzaa atiii! Sasa honey moon yote uache kujiachia kwa raha zako uwe unajiuguzaaaaaa! Khaaaaaaaa!
Aint nothing special abt it, especially ukizidi umri kwenda ndo hadhi ya hiyo kitu inashuka! You better give it to some one who waited for it that long! Hapo huyo bwana akikuacha tu lazima uvae chupi kichwani coz kwa design hiyo you wouldnt last few minutes in todays dating games!!!!!!!!!
Fuko la hela lina thamani kubwaa kwa binadamu ila kwa mbwa ni sawa na uchafuuu tu, heri apate fupa moja kuliko fuko zima!
pole dada kwa majaribu unayopata. mimi nlipata msichana lyk u na akawa hatak kabisa tukutane kimwili. one day nkalazmisha ad nkapga game. toka cku hyo huyo mdada hasikii wala haoni juu yangu. alinikamata mara nying na gals bt hakuniacha. ikafka kipind alitaka kujiua coz of me aliponea hosp. nkaona its not good kumtesa mdada wa watu af amejitunza na nmemuharbia usichana wake, so nkaamua kuachana na gal wangu ili niwe nae. sio siri ana upendo wa dhati kwangu japo kama ningekuwa mtu wa kupita ningemuumiza sana. nafkiria kumuacha ila kila nikifkiria naamua kuahirisha but lolote linaweza toke.
ANGALIA YASIJE YAKAKUKUTA KAMA YA MWENZIO
kwanza hongera kwa kujitunza, then samahani naomba niulize .......
Mkioana ukakutana na haya utafanyaje?
1)xxl (namaanisha kubwa kuliko hupati enjoymnt)
2)kaduchu sana saizi ya sigara tena nyota
3)ya kawaida afu haifanyi kazi
4)hajui kitu kabisa
Nshaishuhudia kwa shost wangu hii, baada tu ya ndoa karudi kulalamika mambo ya 6*6 hayaendi vzr wamekaa kidogo wameachana, kuonja nako kuna mchango wake lakini.....