cute junior
Member
- Dec 8, 2012
- 31
- 9
kha!!! dada yangu nakuomba usimpanulie kabisa huyo mwanaume...yaani hasikuvue chupi kabisaaa. hataki amuache.
wanawake kama nyie w wachacbe lakini ndio wanawake wa kweli sio hawa wanao gawa utamu. keep it up!!!
Kwanza hongera kwa kujitunza, then samahani naomba niulize .......
mkioana ukakutana na haya utafanyaje?
1)xxl (namaanisha kubwa kuliko hupati enjoymnt)
2)Kaduchu sana saizi ya sigara tena nyota
3)Ya kawaida afu haifanyi kazi
4)Hajui kitu kabisa
asante umenipa ushauri mzuri l will work on it
nitamvumilia kwasababu atakuwa ameshakua husband wangu no way out nitakubaliana na yote
Cool, basi endelea kuvuta subira tu mnyime hadi ndoa mwaya.......
ndoa itafugwa tunda litamegwa ole wake bikira iwe imetoka kwa michezo ya rede,kipande kuendesha baiskeli atasimulia
jamaa atakuwa anajua kuliko yeye na hawakawii kutuita majina kama..........
1. mkewangu mzuri na ninampenda sana lakin kitandani hajui kitu
2. hajishughukishi kabisa yupo ka gogo
3. kimoja tu anadai ameshoka
4.kubwa na inamaji mpaka tudeki
uzoefu unahusika
mwisho mi namuasha hanifai demu gani huyu ni bora niende kwa ummy (muuza bar)anayajua mapenzi.
mimi ni msichana nina miaka 25 sijawahi kulala na mwanaume hata siku moja lakini mchumba angu ananilazimisha nikamuomba anisubiri mpaka tukioana lakini hanielewi naombeni ushauri wenu
mkatalie mpaka akuoe mwaya........ila du mara ndio umembania mda wote huo siku anakuoa unamkuta kibamia,au punda sijui utakuja na uzi gani hapa.......kuna moja niliona mpekuzi kule anazo 4 yani ndivo alivozaliwa.....kuna umuhimu wa kuonana huko kabla ya kuoana ...........just saying jamani ))))))mimi ni msichana nina miaka 25 sijawahi kulala na mwanaume hata siku moja lakini mchumba angu ananilazimisha nikamuomba anisubiri mpaka tukioana lakini hanielewi naombeni ushauri wenu
ina mana umempenda kwakumuonea huruma ila huna mzuka naye kivile like u can kill urself for herpole dada kwa majaribu unayopata. mimi nlipata msichana lyk u na akawa hatak kabisa tukutane kimwili. one day nkalazmisha ad nkapga game. toka cku hyo huyo mdada hasikii wala haoni juu yangu. alinikamata mara nying na gals bt hakuniacha. ikafka kipind alitaka kujiua coz of me aliponea hosp. nkaona its not good kumtesa mdada wa watu af amejitunza na nmemuharbia usichana wake, so nkaamua kuachana na gal wangu ili niwe nae. sio siri ana upendo wa dhati kwangu japo kama ningekuwa mtu wa kupita ningemuumiza sana. nafkiria kumuacha ila kila nikifkiria naamua kuahirisha but lolote linaweza toke.
ANGALIA YASIJE YAKAKUKUTA KAMA YA MWENZIO
unahitaji pongezi...so far umekula ng'ombe mzima imebakiza mkia tu, subira yako hadi ndoa ndio uamuzi sahihi
Umesema una umri gan?
We mpe usimbanie