cold water
JF-Expert Member
- Oct 6, 2021
- 323
- 1,128
- Thread starter
- #41
Mmmh😁😁😁 Umeniwahi mkuu ila acha na mimi nijaribu bahati yangu,
Usiishi kwa kubahatisha maisha mtoto mzuri me nipo Songea nafanya kazi halmashauri ya Songea,
Njoo tuanzishe maisha unaonekana ni binti mwenye utulivu wa kiakili.