VERITE-NUE
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 1,481
- 1,450
Kama mtamu, jipe moyo. Ila kama unajua ni kaza buti twende, hapo mtihani.
Ila umenikumbusha mbali aise. Janeth alipo maua yake apokee. Mdada mkoa furani,alipatana na mkaka kazini. Mdada akawa analalamika wanampanda na kumuacha. Siku moja kaja kuomba service kwangu,ndo akawa ananihadithia na kuomba ushauri. Bahati mbaya au nzuri, miaka hiyo mambo hayo siyajui. Ila akaniambiaje, eti ntafanya kila linalowezekana, ila huyu lazima anioe. Apende asipende,hachomoki. Na kweli, mpaka leo ndo mme wake.
Sasa na wewe, inategemea na una mpango gani. Kama vipi,fanya kama wengine ajikute hana pa kukimbilia.
Mwambie kwamba unataka akuache na mimba kwanza. Jibu utakalopata,utajua kifuatacho.