Mamndenyi Platinum Member Joined Apr 11, 2011 Posts 44,689 Reaction score 64,739 Jan 19, 2023 #61 Mbaya. Nyumba iwe na mtu vinginevyo hao watoto mrudi nao. Hizo zitakuwa sendoz za dereva wa school bus. Je nini huwa kinaendelea hatujui. Mungu walinde kina mjukuu
Mbaya. Nyumba iwe na mtu vinginevyo hao watoto mrudi nao. Hizo zitakuwa sendoz za dereva wa school bus. Je nini huwa kinaendelea hatujui. Mungu walinde kina mjukuu
Norshad JF-Expert Member Joined Jun 3, 2013 Posts 5,267 Reaction score 12,736 Jan 19, 2023 #62 Mkuu kuna mijitu katoto ka 12yrs kwake anaona ni mkubwa mwenzie. Huyo hawezi kuwa Mwizi nakataa, anaweza kuwa mtu mwenye matatizo ya Fya ya akili, brother fanya kitu kabla mambo hayajaaribika.
Mkuu kuna mijitu katoto ka 12yrs kwake anaona ni mkubwa mwenzie. Huyo hawezi kuwa Mwizi nakataa, anaweza kuwa mtu mwenye matatizo ya Fya ya akili, brother fanya kitu kabla mambo hayajaaribika.
Kapeace JF-Expert Member Joined May 26, 2017 Posts 26,227 Reaction score 71,892 Jan 19, 2023 #63 Yani wewe na mkeo wote hamna ndg mkaishi nae hapo!! Uchoyo tu
May Day JF-Expert Member Joined May 18, 2018 Posts 6,367 Reaction score 9,119 Jan 19, 2023 #64 Petro Oswald said: Parking ya hizo sandals ni tulivu kuashiria kwamba muhusika alifika nyumbani hapo kwa kujiamini. Click to expand... Hapo sio tungefahamu kwanza kama hapo ndivyo alivyovikuta au wamevisogeza?. Hofu yangu mimi imehamia kama huenda kuna Mtu mbaya "Anko" anavizia hapo nyumbani...aina ya viatu haiiashirii kama ni vya Kibaka au Mdokozi.
Petro Oswald said: Parking ya hizo sandals ni tulivu kuashiria kwamba muhusika alifika nyumbani hapo kwa kujiamini. Click to expand... Hapo sio tungefahamu kwanza kama hapo ndivyo alivyovikuta au wamevisogeza?. Hofu yangu mimi imehamia kama huenda kuna Mtu mbaya "Anko" anavizia hapo nyumbani...aina ya viatu haiiashirii kama ni vya Kibaka au Mdokozi.
May Day JF-Expert Member Joined May 18, 2018 Posts 6,367 Reaction score 9,119 Jan 19, 2023 #65 Hiyo Nyumba ifungwe vizuri mnapotoka na Watoto watafutiwe kwa kufikia watokapo Shuleni kuwasubiria mrudi ndio muingie wote nyumbani. Hiyo si dalili nzuri hata kidogo, ni bora hata mkute Vitu vimeibiwa kuliko Watoto kudhuriwa.
Hiyo Nyumba ifungwe vizuri mnapotoka na Watoto watafutiwe kwa kufikia watokapo Shuleni kuwasubiria mrudi ndio muingie wote nyumbani. Hiyo si dalili nzuri hata kidogo, ni bora hata mkute Vitu vimeibiwa kuliko Watoto kudhuriwa.