Naomba ushauri

Chuck j

JF-Expert Member
Jun 17, 2011
2,351
804
Ninamiaka 37 ninawatoto2,nilikvwa nasoma pale technobrain,diploma in ict, niliacha nikibakiza miezi 6 nimalize..maisha ni magumu sana kwa sasa,je niendelee au najilisha upepo?
 
Mzee

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
13,546
5,674
Kama maisha magumu, kunywa sumu ili u Rest In Peace.
 
Kijuche

JF-Expert Member
Aug 26, 2010
418
35
Ninamiaka 37 ninawatoto2,nilikvwa nasoma pale technobrain,diploma in ict, niliacha nikibakiza miezi 6 nimalize..maisha ni magumu sana kwa sasa,je niendelee au najilisha upepo?

Fafanua kidogo hapo kwenye red mkuu ili upewe mawazo ya kujenga nchi.
 
stan b

Member
Sep 8, 2011
85
10
Kama maisha magumu, kunywa sumu ili u Rest In Peace.

we nilshakuambia kama si mzee bac akili yako ni ya kizee, una majbu machaf sana na ukiendelea hv hutapata ushirikiano kwenye hil jukwaa. rekebisha tabia ndugu yangu.
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom