Naomba ushauri | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba ushauri

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by ram, Aug 4, 2011.

 1. ram

  ram JF-Expert Member

  #1
  Aug 4, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 6,218
  Likes Received: 913
  Trophy Points: 280
  Nilikuwa kwenye relationship na mtu for three years now. Mwaka huu mwanzoni nikaanza kuona changes kutoka kwake, na kikubwa hata mapenzi nikaona kabisa yamepungua achilia mbali mambo mengine, ilipofika mwezi wa tano, nikaona nashindwa kabisa, nikamwambia naomba tufikie mwisho manake tunakoelekea binafsi sipendi.

  Akanijibu hapana hawezi kuniacha na wala hatakubali kunipoteza na mapenzi yakarudi kama tulivyokuwa awali. Kinachonifanya niombe ushauri kwenu ni hili lilitokea wiki moja iliyopita, kanipigia simu kaniambia anaomba tufikie mwisho haitaji tena kuwa na mimi na anaomba niheshimu maamuzi yake.

  Ukweli nimeumia sana kwa sababu mimi nilikuwa wakwanza kumwambia tuachane akakataa, akarudisha mapenzi moto moto then kaniacha ghafla, inaniuma coz kanipotezea muda for three years na wakati tunaanza relationship yetu nilikuwa na boyfriend na alisababisha tukaachana.

  Nishaurini nifanye nini
   
 2. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #2
  Aug 4, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Kaona kuna kitu hapo hawezi kukirekebisha hata baada ya kurudisha penzi upya. Yaani kuna upungufu ameuona na unao toka mwanzo ila hapo kati alirudisha mapenzi aone kama itarekebishika ila kaona hakuna kitu bora ajiondoe mapema
   
 3. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #3
  Aug 4, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  tatizo silioni,jamaa kakuambia hisia zake ambazo nawe kipindi fulani ulikua nazo,......sasa unalalama kitu gani,..amka_kung'uta vumbi na uanze maisha mapya,..au unataka uje umuumize yeye ndio ufurahi?........take it easy
   
 4. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #4
  Aug 4, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  let it go will be ok after 3 to 2 day...
   
 5. Yasmin

  Yasmin JF-Expert Member

  #5
  Aug 4, 2011
  Joined: Jul 28, 2011
  Messages: 242
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  <br />
  <br />
  just move on with life its not the end of world
   
 6. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #6
  Aug 4, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  life goes on,.........
   
 7. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #7
  Aug 4, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  pole mwaya wanaume ni mastupid sana sometimes i hate them so much ila sio mwisho wa maisha utapata tu mwingine maana duniani kuna kila kitu ndo wanaume wetu wa bongo walivo wanafiki wanafiki
   
 8. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #8
  Aug 4, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Labda kaona nae utakuja kumwacha kwaajili ya mtu mwingine.

  Pole...songa mbele!!!
   
 9. Tulizo

  Tulizo JF-Expert Member

  #9
  Aug 4, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 849
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Sidhani kama hiyo ni dalili nzuri kama unataka uwe na long term relationship...kwani in short term ..Unaweza kubembeleza akakubali kuendelea tena..lakini baada ya muda.. Back to square one!

  Jibu unalo..unampenda yule anayekupenda na kukuthamini..unless kama nia yako ni kufanya mazoezi ya mapenzi tu!
   
 10. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #10
  Aug 4, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,315
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  ujanja ni kuwahi, nimempenda sana kwani alichokifanya hapo ni kuhamisha maumivu upande wa pili.....
  siku nyingine jitahidi kusoma alama za nyakati

  by the way pole sana najua ni jinsi gani inauma ila ndo hivyo yameshatokea huna namna.
   
 11. ram

  ram JF-Expert Member

  #11
  Aug 4, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 6,218
  Likes Received: 913
  Trophy Points: 280
  Asante Yasmin
   
 12. ram

  ram JF-Expert Member

  #12
  Aug 4, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 6,218
  Likes Received: 913
  Trophy Points: 280
  Lakini mimi nilimwita nikamwambia kwa ustarabu kabisa na bado akakataa, kinachoniumiza mimi ni kwanini hakuniita kama mimi nilivyofanya awali badala yake from nowhere akanicall kwamba mimi na yeye basi. Anyway asante kwa usahuri!
   
 13. ram

  ram JF-Expert Member

  #13
  Aug 4, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 6,218
  Likes Received: 913
  Trophy Points: 280
  Asante Lizzy! Mimi nilivyoona kabadilika ndo nikamwambia tuachane, akakataa katakata, ghafla kanigeuzia kibao! Nitafanyia kazi ushauri wako
   
 14. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #14
  Aug 4, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Sure,mara nyingi watu hua tunaona kumwambia mtu "nakupenda na yule simtaki tena" ni statement
  nzuri sana kuonesha kiasi gani unampenda huyo unae mwambia hivo,...

  Lakini ndani ya mawazo ya unae mwambia ni kwamba "ipo siku ataniacha hivi hivi na mimi"
  Lakini pia,yawezekana alitaka kukuonesha yeye ni "kidume",....kwamba hatoswi ila anatosa,...

  Nakumbuka kuna jamaa alikua na "style",akiona binti anakaribia kumtosa au labda kamtosa,
  basi atafanya kila awezalo ili ampate tena,amwoneshe kumpenda sana (amvute kwake kiukweli ukweli)
  then amwoneshe ni kiasi gani aliumia pale alipo muacha,,...

  Ila sister songa mbele,wala usije lipiza kisasi kwa mtu mwingine,kisasi sio kazi yako ni kazi ya Mungu
   
 15. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #15
  Aug 4, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  What the hell is this? Unabreak up with ur man because of another boyfriend.....huh! Umeona sasa wanaume jinsi walivyo wanafiki eeh? Yaani hapo keshahisi kwamba na yeye ungekuja kumuacha kama ulivomwacha wa kwanza. Pole sana but just accept the reality and face it no need to cry my dear, let it be the history!
   
 16. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #16
  Aug 4, 2011
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Hii accusation ya 'kanipotezea muda' huwa inanisumbua.Ninachofahamu mimi muda ni collection ya moments,sasa hizo moments ambazo mlikuwa mnapagawaishana nazo unazihesabu kuwa ulikuwa ni upotevu wa muda? jamani si uli enjoy moments hizo? It takes two to tangle, kama muda wako unaona ulipotea basi ujue na wa kwake ulipotea pia.
  Ushauri wangu: Maisha ni mchakato wa kujifunza hadi tuingie kaburini,chukua mema uliyojifunza katika mahusiano hayo and then MOVE ON!
   
 17. TECHMAN

  TECHMAN JF-Expert Member

  #17
  Aug 4, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 2,677
  Likes Received: 162
  Trophy Points: 160
  Kiukweli, wanaume hawapendi kuachwa, ila wanapenda wao kuacha, Inavyoonyesha alikuwa hayuko na wewe kitambo ulipompa wazo la kuachana akatumia ujanja ili muendelee kisha yeye akuache,
  katika relation especial ya muda mrefu kama yenu, nirahisi kujua mapema if thing is there or no, nashangaa kwanini wewe hukutilia maanani hilo kwakuwa uliliona kabla, usikate tamaa, maisha ndo yalivyo, cha muhimu ni kukaa chini na kujipanga upya, when time comes atatokea mwingine atakaye kujali na kukupenda kwa dhati. kama ni mwanafunzi tumia muda wako mwingi kusoma na kama ni mfanyakazi tumia muda mwingi katika kazi na shunguli zako za binafsi, acha kumuwaza, mara nyingi wanawake mnakuwa na huruma sana, inaweza ikatokea this x-boy of yours akukurudia tena akiomba msamaha, nakushauri usije kufanya kosa kumruhusu tena moyoni kwani anaweza akaja kukuumiza zaidi ya hivi.
  KAA ukijua kuwa wewe sio wa kwanza kupitia hili. TAKE CARE
   
 18. TECHMAN

  TECHMAN JF-Expert Member

  #18
  Aug 4, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 2,677
  Likes Received: 162
  Trophy Points: 160
  .


  watch your keyboard
   
 19. TECHMAN

  TECHMAN JF-Expert Member

  #19
  Aug 4, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 2,677
  Likes Received: 162
  Trophy Points: 160

  And yo papa too.( sorry, is yo papa a man or?)

  next time do not mention all, say some,
  You told her, next time she will get another what? another stupid man? shame on u.
   
 20. TECHMAN

  TECHMAN JF-Expert Member

  #20
  Aug 4, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 2,677
  Likes Received: 162
  Trophy Points: 160
   
Loading...