Naomba ushauri wenu

Naomba ushauri wenu

Mwitore

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2021
Posts
399
Reaction score
2,065
Habarini wanajanvi,
Moja kwa moja kwenye mada, Naomba mawazo yenu lakini yawe ya kujenga.

Mimi ni mfanyakazi wa kuajiliwa kwa miaka mingi na natarajia kustaafu Mwenyezi Mungu akipenda miaka 5 ijayo, nina mke na watoto sita kati yao wanne wamemaliza chuo kikuu,

Kwa miaka yote ya kufanya kazi mawazo yangu yote ni kwenda kumalizia maisha yangu kijijini na kufungua miradi yangu huko kutokana na fulsa ambazo nimeziona huko,

Kwa uzoefu wa jamaa zangu wengi ambao waliamua kutumia pesa zao za kustaafia kufungua biashara mjini, naweza kusema 95%walikwama na maisha yao yalikuwa ni kuombaomba,

Lakini asiliamia iliyobaki waliamua kwenda kijijini na kuwekeza wote maisha yao wanatafurahia,

Mke wangu kabila lake ni tofauti na mimi, lakini kila nikimshirisha kuhusu kwenda kijijini anakuwa kama hataki kusikia habari hiyo ni kuhamisha topic,

Lakini leo tulikuwa tunazungumzia habari ya vijana wa kijijini jinsi baadhi yao wanavyopiga maendeleo kwa kasi, na mimi kumtakia kuwa sasa na sisi tutengeneze maisha ya kijijini kuanzia sasa, aliishia kunikatisha tamaa kuwa maisha ya kijijini kwetu baadaye Yatakuwa mabaya sana .

Nilipomuuliza Mara mbili yatakuwa mabaya kivipi hakutaka kunijibu.

Nitaka niendelee kumuuliza yatakuwa mabaya kivipi baadaye, ndio nikaona umuhimu wa kuwashare na nyinyi hapa.

Kijijini tayari nina nyumba na nina mpango wa kuwa na nyumba nyingine ya kisssa zaidi ya kustaafia.

Kijijini chetu kuna umeme na maji na barabara nzuri ya rami inapita hapo karibu na kiwanja kingine changu.

Vijana wangu wawili wanafanya kazi wengine bado wanabangaiza.

Mjini nina nyumba mbili tayari., na nikiamua kuziuza leo sikosi 400m,

Mama tangu bado yupo na anaishi kijijini,

Namba mawazo yenu kuhusu nia ya huyu mke wangu,

Lakini mimi binafsi maisha ya mjini sina raha nayo kabisa,

Nimeishi huku mjini huu mwaka wa 37,

Naomba kuwasilisha
 
Kwanza hongera kwa maamuzi hayo. Haha huna mtaji mkubwa kuishi mjini ni kutaka kuwa omba omba na kuwasumbua wanao.

Swala la mke kumpeleka Kijijini kwenu ni gumu kwa sasabu. Hajazoea Kijijini kwenu. Na wewe ukifa yeye Hana mtu wa kukaa nae kule. Kumbuka wanawake wanaamini mwana mme anakufa kwanza.

Na kama utashindwa kwenda basi Hakikisha unaanza Biashara kabla ya kusitaafu
 
Tatizo ni mkeo right? Huyo ni mkeo wewe ndio kichwa cha familia unaamua wapi familia yako inataka iwe.
Ile usitumie ubabe muweke chini mueleze sababu za wewe kuhama na na yeye akueleze sababu za kutokuhama, zinaweza kua zinamashiko pia.

But sometimes inahitajika nguvu zaidi ya nguvu ya kitu kinachotakiwa kusogezwa. So kama hatokua na hoja za msingi na asipolidhia nashauri nguvu itumike.
( ukute anatafuta sababu mgawane mali kila mtu afe kivyake maana ya wanadamu mengi na mioyo ya watu ni kiza kinene) I'm just thinking it out loudly 🤔

Yote kwa yote wewe ndio mwanaume wa nyumba tumia uanaume wako kutimiza lengo hilo. For collective good. Just act Manly
 
Ahsante sana, mimi nimeshaamua hivyo, wasi wasi wangu ni kwamba kama hatupo njia moja ndio mambo ya kuwaishana kwenye mafao, maana haya mambo yapo.

Au nimwambie yeye ana aslimia ngapi huko, maana anaweza kudhani nimemwandika yeye 100%
 
Kwanza hongera kwa maamuzi hayo. Haha huna mtaji mkubwa kuishi mjini ni kutaka kuwa omba omba na kuwasumbua wanao.

Swala la mke kumpeleka Kijijini kwenu ni gumu kwa sasabu. Hajazoea Kijijini kwenu. Na wewe ukifa yeye Hana mtu wa kukaa nae kule. Kumbuka wanawake wanaamini mwana mme anakufa kwanza.

Na kama utashindwa kwenda basi Hakikisha unaanza Biashara kabla ya kusitaafu
Lakini maana ya kuoa ni nini,
So inabidi amfuate mume wake
 
Wanawake mna nini lakini?

Huwezi kuishi kwa furaha mjini baada ya kustaafu. Hutakuwa na kitu cha kukufanya bize siku nzima.

Sijui hata nikuambie nini.

Ndoa imekubana huna maamuzi, inabidi umsikilize mkeo.

Mie naishi shamba nafurahia maisha ya kustaafu sana japo some obstacles ila ndo hivyo
 
Mamndenyi,
Nafurahi sana kusikia kauli hii,
Nipo likizo sasa hivi hapa kijijini kila nikiona fulsa ambazo zipo hapa nataka hata sasa hivi nihamie,

Siwezi kukaa sehemu ambayo robo tatu ya maisha yangu nimemalizia huko, furaha yangu naiona ipo hapa kijijini,

Kila kitu cha mjini nimeshakiona sasa nimebakisha nini,

Kama ni maji ya bomba yapo, kama ni umeme upo, kama ni barabara ya lami ipo, mjini ni km 40 tu, usafiri muda wote upo,

Maduka yapo, hewa safi ipo, chakula ndio usiseme ni pesa yako tu, pesa ipo. Tatizo nini hasa kwa hawa wanawake zetu.

Niambie wewe upo kwenu au kwa mume wako?
 
Tafuta watu ambao mkeo anawaheshimu na kuwasikiliza sana wamshawishi. Watoto pia waambie waongee na mkeo.
 
Mzee mwitore una matatizo sana. Umemalizana ya mchepuko unaanza ya kuhamia kijijini. Hakuna mwanamke utakayekutana nae mjini mkaishi maisha yenu hapo kwa miaka tele kisha ghafla uje umwambie mnahamia kijijini hawezi kubali hizo pumba.
 
Hili jambo waelimishe watoto wako kwanza afu wamshawishi mama yao, akigoma tumia udikteta tuu, ww unaenda kijijini yeye abaki mjin kama utaweza kuishi peke yake mjin
 
Wanawake mna nini lakini?

Huwezi kuishi kwa furaha mjini baada ya kustaafu. Hutakuwa na kitu cha kukufanya bize siku nzima.

Sijui hata nikuambie nini.

Ndoa imekubana huna maamuzi, inabidi umsikilize mkeo.

Mie naishi shamba nafurahia maisha ya kustaafu sana japo some obstacles ila ndo hivyo
usimshawishi ujinga mazaaa, huyo dingi inabidi afanye maamuzi ya kiume aje huku bush na huyo manzi/mke wake aje hakuna namna.
 
aisee, unazidiwa nguvu na papuchi ilihali wewe ni kichwa cha familia ?

hakuna ushauri hapa maamuzi unayo wewe mwenyewe
 
Habarini wanajanvi,
Moja kwa moja kwenye mada, Naomba mawazo yenu lakini yawe ya kujenga.

Mimi ni mfanyakazi wa kuajiliwa kwa miaka mingi na natarajia kustaafu Mwenyezi Mungu akipenda miaka 5 ijayo, ni mke na watoto sita kati yao wanne wamemaliza chuo kikuu,

Kwa miaka yote ya kufanya kazi mawazo yangu yote ni kwenda kumalizia maisha yangu kijijini na kufungua miradi yangu huko kutokana na fulsa ambazo nimeziona huko,

Kwa uzoefu wa jamaa zangu wengi ambao waliamua kutumia pesa zao za kustaafia kufungua biashara mjini, naweza kusema 95%walikwama na maisha yao yalikuwa ni kuombaomba,

Lakini asiliamia iliyobaki waliamua kwenda kijijini na kuwekeza wote maisha yao wanatafurahia,

Mke wangu kabila lake ni tofauti na mimi, lakini kila nikimshirisha kuhusu kwenda kijijini anakuwa kama hataki kusikia habari hiyo ni kuhamisha topic,

Lakini leo tulikuwa tunazungumzia habari ya vijana wa kijijini jinsi baadhi yao wanavyopiga maendeleo kwa kasi, na mimi kumtakia kuwa sasa na sisi tutengeneze maisha ya kijijini kuanzia sasa, aliishia kunikatisha tamaa kuwa maisha ya kijijini kwetu baadaye Yatakuwa mabaya sana .

Nilipomuuliza Mara mbili yatakuwa mabaya kivipi hakutaka kunijibu.

Nitaka niendelee kumuuliza yatakuwa mabaya kivipi baadaye, ndio nikaona umuhimu wa kuwashare na nyinyi hapa.

Kijijini tayari nina nyumba na nina mpango wa kuwa na nyumba nyingine ya kisssa zaidi ya kustaafia.

Kijijini chetu kuna umeme na maji na barabara nzuri ya rami inapita hapo karibu na kiwanja kingine changu.

Vijana wangu wawili wanafanya kazi wengine bado wanabangaiza.

Mjini nina nyumba mbili tayari., na nikiamua kuziuza leo sikosi 400m,

Mama tangu bado yupo na anaishi kijijini,

Namba mawazo yenu kuhusu nia ya huyu mke wangu,

Lakini mimi binafsi maisha ya mjini sina raha nayo kabisa,

Nimeishi huku mjini huu mwaka wa 37,

Naomba kuwasilisha
Mkuu nenda kijijin huyo ambae hataki achana nae kaoe na kasichana ka kustaafia ye muache akae mjini maendeleo mjini ni magumu sana
 
Ninavyoona mkeo ana wasiwasi anaona Kama maisha kijijini yatakua magumu, siunajua akili za watu wa mjini tukitajiwa kijijini kwenye picha zetu kichwani tunaona Kama sehemu zisizofaa kuishi. Kwahiyo elekezaneni mdogomdogo.
Au Kama vipi hamia wewe kwanza uendele yeye atafuata.
 
Mamndenyi,
Nafurahi sana kusikia kauli hii,
Nipo likizo sasa hivi hapa kijijini kila nikiona fulsa ambazo zipo hapa nataka hata sasa hivi nihamie,

Siwezi kukaa sehemu ambayo robo tatu ya maisha yangu nimemalizia huko, furaha yangu naiona ipo hapa kijijini,

Kila kitu cha mjini nimeshakiona sasa nimebakisha nini,

Kama ni maji ya bomba yapo, kama ni umeme upo, kama ni barabara ya lami ipo, mjini ni km 40 tu, usafiri muda wote upo,

Maduka yapo, hewa safi ipo, chakula ndio usiseme ni pesa yako tu, pesa ipo. Tatizo nini hasa kwa hawa wanawake zetu.

Niambie wewe upo kwenu au kwa mume wako?

MKUU,

NITAJIE HICHO KIJIJI FASTA,

NAMI NINA LENGO LA KUHAMIA KIJIJI CHENYE SIFA HIZI ULIZOZITAJA.

Sent from my TECNO LC6a using JamiiForums mobile app
 
Wanawake mna nini lakini?

Huwezi kuishi kwa furaha mjini baada ya kustaafu. Hutakuwa na kitu cha kukufanya bize siku nzima.

Sijui hata nikuambie nini.

Ndoa imekubana huna maamuzi, inabidi umsikilize mkeo.

Mie naishi shamba nafurahia maisha ya kustaafu sana japo some obstacles ila ndo hivyo
Mamndenyi,
Nafurahi sana kusikia kauli hii,
Nipo likizo sasa hivi hapa kijijini kila nikiona fulsa ambazo zipo hapa nataka hata sasa hivi nihamie,

Siwezi kukaa sehemu ambayo robo tatu ya maisha yangu nimemalizia huko, furaha yangu naiona ipo hapa kijijini,

Kila kitu cha mjini nimeshakiona sasa nimebakisha nini,

Kama ni maji ya bomba yapo, kama ni umeme upo, kama ni barabara ya lami ipo, mjini ni km 40 tu, usafiri muda wote upo,

Maduka yapo, hewa safi ipo, chakula ndio usiseme ni pesa yako tu, pesa ipo. Tatizo nini hasa kwa hawa wanawake zetu.

Niambie wewe upo kwenu au kwa mume wako?
Mzee mwitore una matatizo sana. Umemalizana ya mchepuko unaanza ya kuhamia kijijini. Hakuna mwanamke utakayekutana nae mjini mkaishi maisha yenu hapo kwa miaka tele kisha ghafla uje umwambie mnahamia kijijini hawezi kubali hizo pumba.
yule alirudi mimi nikiwa nje safari ya miezi miwili, akatumia hiyo nafasi kurudi, alikaa miezi nane,

Ili kuepusha balaa sikufikia kule,

Kesi ipo mahakamani hukumu mwezi wa kwanza. Inshallah,

Huyu Mae anaanza kunichefua,

Kweli wanaume tuliumbwa mateso
 
Mzee mwitore una matatizo sana. Umemalizana ya mchepuko unaanza ya kuhamia kijijini. Hakuna mwanamke utakayekutana nae mjini mkaishi maisha yenu hapo kwa miaka tele kisha ghafla uje umwambie mnahamia kijijini hawezi kubali hizo pumba.
Kwa hiyo tukioe mjini ndio tumefunga ndoa na mji,

Wanaooa sasa hivi kusema kweli nawashangaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom