Kubwa la Maadui
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 8,020
- 15,874
Outside ndo wapi mkuu, malengo yangu ni kufanya kazi itakayoniwezesha baada ya miaka 3 niondoke Tanzania niende USA hizo uwekezaji mdogo ni huu ada ni 1500000 tu Kwa mwaka 1 tuThink outside the box
Bios Toka lini imekua social science?Social sciences, sio sayansi pure.
Bios na Geog, labda ingekua Chem na Bios.
Mkuu postgraduate diploma wanasoma wenye shahada ya kwanza, nataka kuhama kada kutoka ualimu kwenda kweny masuala ya procurement na logisticsSijaelewa kitu, elimu Yako sasa ni level gani?
Unasema ikitokea kazi za degree unaweza kuomba kupitia hio unayotaka kusoma? Fafanua kidogo
Em nijibu kwanza afu narudi na maelezo
Master's Kwa bongo ntapoteza hela tu, pili postgraduate ni affordable kwangu maana ada ni Milion Moja na Lak 5 tuWhy postgraduate.. c upige master tu
Mbona uo ualimu unatosha. Anzisha tuition ufundishe kam side hustle huku ukisubiri ajira.Naomba kuuliza hili WAKUU
Mimi ni mwalimu wa sayansi masomo biology na geography, kwasasa nataka kuomba kufanya postgraduate diploma ya procurements and logistics management pale TIA, sasa kitu ambacho sielewi ni kuwa kwamfano kwenye maombi ya kazi utumishi naweza kuomba kazi ambazo vigezo ni degree ya kozi hiyo?
Au mpaka nisubirie kazi za postgraduate tu? Na je kama mpaka nisubirie, je rate ya matangazo ya kazi serikalini kwa watu postgraduate diploma katika kozi hiyo ni nzuri au hali ni mbaya?
Wakuu ushauri wenu ni muhimu nisije kupoteza pesa zangu bure.
Nawasilisha
Apply upya chuo kupitia cheti chako Cha form six au kama una ordinary diploma. Hio postgraduate diploma utaisoma ili ikuwezeshe kusoma masters ya hio procurement.Mkuu postgraduate diploma wanasoma wenye shahada ya kwanza, nataka kuhama kada kutoka ualimu kwenda kweny masuala ya procurement na logistics
Kama unatak kutoka bongo kwann usitafte kozi za hio biology na geography za kwend kusoma nje ya nchi kupitia student visa. Tembelea website z scholarship unawez kupat full fundedOutside ndo wapi mkuu, malengo yangu ni kufanya kazi itakayoniwezesha baada ya miaka 3 niondoke Tanzania niende USA hizo uwekezaji mdogo ni huu ada ni 1500000 tu Kwa mwaka 1 tu
Ok hapo fact yako ni Gharama, ila ndugu ada ni ndogo ila ukisoma gharama zipo pale pale, Stationary, chakula, hostel,Time n.k ndio maana nimeshauri soma master tu piga vizuri, then Tafuta Scholarship nenda USA enjoyMaster's Kwa bongo ntapoteza hela tu, pili postgraduate ni affordable kwangu maana ada ni Milion Moja na Lak 5 tu
Elimu Haina mwishoUmri uliokuwa nao, bado unawekeza kwenye elimu!? tafta ela broo acha bla blaa!
Scholarships nahangaika nazo lakni hola nilikua nataka nibadilishe kada kwanza nipate kibarua Cha kueleweka pia kuongeza ujuzi na kua multipurpose, master's Kwa bongo ni gharama sana sitaweza kumudu pia usumbufu wa wakufunzi ni TAtzo sugu, hiyo postgraduate nimeichagua sababu ni mwaka tu mmoja semester mbili natapa cheti naanza kutafuta vibaruaOk hapo fact yako ni Gharama, ila ndugu ada ni ndogo ila ukisoma gharama zipo pale pale, Stationary, chakula, hostel,Time n.k ndio maana nimeshauri soma master tu piga vizuri, then Tafuta Scholarship nenda USA enjoy
Natafuta sana scholarships lakini sjabahatika kupata, basi acha niwekeze na Kwenye kutafuta wamama wajane wa kizunguKama unatak kutoka bongo kwann usitafte kozi za hio biology na geography za kwend kusoma nje ya nchi kupitia student visa. Tembelea website z scholarship unawez kupat full funded
Au uende Tinder au dating apa au social media utafte mzungu uingie kwa K1 visa
Siwez kusoma kozi ya zaidi ya miaka miwili Kwasasa ya nchi ya level ya master's, postgraduate diploma ni mwaka mmoja TU na ada ni 1500000 Kwa TIAApply upya chuo kupitia cheti chako Cha form six au kama una ordinary diploma. Hio postgraduate diploma utaisoma ili ikuwezeshe kusoma masters ya hio procurement.
Tuishen tena MKuu?Mbona uo ualimu unatosha. Anzisha tuition ufundishe kam side hustle huku ukisubiri ajira.
Iyo procurement and logistic management ni kozi ambazo unatakiw kusom tayr una connection na watu w kusafirish mizigo bandarin au air cargo hvhv utaangaika kutembelea makampu kama unatak ajira yke