Wakuu naomba ushauri kwa aliyewahi kupitia hali kama yangu.
Nimekuwa nikifuatilia settlement/payoff letter ya Platinum Credit tangu 10/08/2026 kwa ajili ya kulipa na kumaliza deni langu. Nimefuata taratibu walizonielekeza, nimejaza fomu na kulipa processing fee, lakini nimeambiwa nisubiri hadi 16/09/2026 kwa sababu barua hutolewa mara mbili kwa mwezi.
Nilipofuatilia kwa Meneja wa Kanda nilijibiwa vibaya na nikaambiwa kwamba nikiendelea kufuatilia wanaweza kuongeza deni langu hadi TSh milioni 50.
Naomba mwenye uzoefu:
Aliyewahi kucheleweshwa settlement letter alifanyaje mpaka akaipata?
BOT iliwahi kuingilia kati na suala likatatuliwa?
Kuna njia ya kupata settlement letter haraka kabla ya tarehe waliyonipa?
Lengo langu ni kulipa deni na kumaliza mkopo, si kukwepa. Naomba ushauri wa hatua sahihi.