Naomba ushauri wenu wana JF katika hili

Naomba ushauri wenu wana JF katika hili

Natafuta sana scholarships lakini sjabahatika kupata, basi acha niwekeze na Kwenye kutafuta wamama wajane wa kizungu
Nenda kweny hzi taasis zinzo wataftia wat Scholarship kam globar education link na kun jamaa ypo umu JF anasem ana uwezo uwo. Nadhan ana uzi jukwaa l biashar
 
Nunua biblia funga maombi kwanza na uombee taifa halina aman uhubiri injili mpaka ikulu TOFAUT NA HAPO NO REFORM No employment hakuna aman labda kwaupendeleo kama undandugu juu
 
Nenda kweny hzi taasis zinzo wataftia wat Scholarship kam globar education link na kun jamaa ypo umu JF anasem ana uwezo uwo. Nadhan ana uzi jukwaa l biashar
Kuomba nafanya mwenyew documents zote ninazo HAO bila pesa nyingi hupati
 
Kweny kutafta hela hmna kujijshusha brand.
KUn wat wamesom hzo koz wanafudisha tuishen ten table teaching topic moj 30k. Wngn mpak wamefungua n youtube channel ya kufundishia. Labda kama ww n Team ajira
Mkuu kupata MTU wa kumfundisha Kwa 30k Kwa topic ni mziki pia
 
Nirahisishe maelezo, nataka kujua kama ntasoma postgraduate diploma in procurements and logistics management naweza kuomba kazi za bachelor degree au mpaka nisubirie za postgraduate diploma tu
 
Vigezo vya kazi Tanzania nzima ikiwemo Utumishi,qualification zake ni degree ya kwanza katika masomo uliyoyachukua.kwa kusoma kwako hiyo postgraduate ya procurement hakutakuwezesha ww kufanikiwa kuomba kazi za hiyo fani ya procurement.

Ni mbaya zaidi kwa kada yako hiyo ya ualimu categorisation ambazo zinakubali ni chache sana,ikiwemo zile position za academic Officer au zile kada zisizohitaji professionalism.

Kama lengo ni kuongeza kipato,basi tumie hiyo hela tafuta nafasi Halmasgauri,wizara ya Elimu au Wizara ya TAMISEMI,na baadhi ya Taasisi kama PSSF,NSSF zina nafasi kama Afisa Mafao ambazo hazihitaji professionalism.

Vilevile,kama lengo ni kwenda nje tafuta kozi za diploma katika mazingira au nurse hizo unaweza kubahatisga kwenda huko.
*** but kumbuka lolote ufanyalo muda sio rafiki kama uonavyo.
 
Ooh sawa bas na nikichukua Ili nisome master's baadae itakuaje inakubalika?
 
Nikiwa kama mzoefu wa mambo hayo haiwezekani .
Labda ufanye bachelor ya hiyo kozi.
Kazi ambayo watasema wanahitaji mtu mwenye .masters au post graduate zinakuwa nafasi za juu kwamba watataka mtu mwenye uzoefu wa mda flani kwenye kazi hiyo.
Hata kwa huyohuyo mwajiri wako wa sasa kufanya recategorization itkuwa ngumu kwa post graduate .
Nakushauri uanze na bachelor ya hiyo kozi nyingine hapo unaweza kuomba reecategorization kwa huyohuyo mwajiri wako au ukaomba kazi nyingine ya kuanzia (entry level) kwa kozi yako mpya
 
Ooh asnte Sana
 
Back
Top Bottom