Naomba ushauri wenu wana JF katika hili

Naomba ushauri wenu wana JF katika hili

Munch wa Annabelle

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2019
Posts
6,274
Reaction score
10,844
Naomba kuuliza hili WAKUU

Mimi ni mwalimu wa sayansi masomo biology na geography, kwasasa nataka kuomba kufanya postgraduate diploma ya procurements and logistics management pale TIA, sasa kitu ambacho sielewi ni kuwa kwamfano kwenye maombi ya kazi utumishi naweza kuomba kazi ambazo vigezo ni degree ya kozi hiyo?

Au mpaka nisubirie kazi za postgraduate tu? Na je kama mpaka nisubirie, je rate ya matangazo ya kazi serikalini kwa watu postgraduate diploma katika kozi hiyo ni nzuri au hali ni mbaya?

Wakuu ushauri wenu ni muhimu nisije kupoteza pesa zangu bure.

Nawasilisha
 
Sijaelewa kitu, elimu Yako sasa ni level gani?
Unasema ikitokea kazi za degree unaweza kuomba kupitia hio unayotaka kusoma? Fafanua kidogo
Em nijibu kwanza afu narudi na maelezo
 
Why postgraduate.. c upige master tu
 
Sijaelewa kitu, elimu Yako sasa ni level gani?
Unasema ikitokea kazi za degree unaweza kuomba kupitia hio unayotaka kusoma? Fafanua kidogo
Em nijibu kwanza afu narudi na maelezo
Mkuu postgraduate diploma wanasoma wenye shahada ya kwanza, nataka kuhama kada kutoka ualimu kwenda kweny masuala ya procurement na logistics
 
Naomba kuuliza hili WAKUU

Mimi ni mwalimu wa sayansi masomo biology na geography, kwasasa nataka kuomba kufanya postgraduate diploma ya procurements and logistics management pale TIA, sasa kitu ambacho sielewi ni kuwa kwamfano kwenye maombi ya kazi utumishi naweza kuomba kazi ambazo vigezo ni degree ya kozi hiyo?

Au mpaka nisubirie kazi za postgraduate tu? Na je kama mpaka nisubirie, je rate ya matangazo ya kazi serikalini kwa watu postgraduate diploma katika kozi hiyo ni nzuri au hali ni mbaya?

Wakuu ushauri wenu ni muhimu nisije kupoteza pesa zangu bure.

Nawasilisha
Mbona uo ualimu unatosha. Anzisha tuition ufundishe kam side hustle huku ukisubiri ajira.
Iyo procurement and logistic management ni kozi ambazo unatakiw kusom tayr una connection na watu w kusafirish mizigo bandarin au air cargo hvhv utaangaika kutembelea makampu kama unatak ajira yke
 
Mkuu postgraduate diploma wanasoma wenye shahada ya kwanza, nataka kuhama kada kutoka ualimu kwenda kweny masuala ya procurement na logistics
Apply upya chuo kupitia cheti chako Cha form six au kama una ordinary diploma. Hio postgraduate diploma utaisoma ili ikuwezeshe kusoma masters ya hio procurement.
 
Outside ndo wapi mkuu, malengo yangu ni kufanya kazi itakayoniwezesha baada ya miaka 3 niondoke Tanzania niende USA hizo uwekezaji mdogo ni huu ada ni 1500000 tu Kwa mwaka 1 tu
Kama unatak kutoka bongo kwann usitafte kozi za hio biology na geography za kwend kusoma nje ya nchi kupitia student visa. Tembelea website z scholarship unawez kupat full funded
Au uende Tinder au dating apa au social media utafte mzungu uingie kwa K1 visa
 
Master's Kwa bongo ntapoteza hela tu, pili postgraduate ni affordable kwangu maana ada ni Milion Moja na Lak 5 tu
Ok hapo fact yako ni Gharama, ila ndugu ada ni ndogo ila ukisoma gharama zipo pale pale, Stationary, chakula, hostel,Time n.k ndio maana nimeshauri soma master tu piga vizuri, then Tafuta Scholarship nenda USA enjoy
 
Scholarships nahangaika nazo lakni hola nilikua nataka nibadilishe kada kwanza nipate kibarua Cha kueleweka pia kuongeza ujuzi na kua multipurpose, master's Kwa bongo ni gharama sana sitaweza kumudu pia usumbufu wa wakufunzi ni TAtzo sugu, hiyo postgraduate nimeichagua sababu ni mwaka tu mmoja semester mbili natapa cheti naanza kutafuta vibarua
 
Kama unatak kutoka bongo kwann usitafte kozi za hio biology na geography za kwend kusoma nje ya nchi kupitia student visa. Tembelea website z scholarship unawez kupat full funded
Au uende Tinder au dating apa au social media utafte mzungu uingie kwa K1 visa
Natafuta sana scholarships lakini sjabahatika kupata, basi acha niwekeze na Kwenye kutafuta wamama wajane wa kizungu
 
Apply upya chuo kupitia cheti chako Cha form six au kama una ordinary diploma. Hio postgraduate diploma utaisoma ili ikuwezeshe kusoma masters ya hio procurement.
Siwez kusoma kozi ya zaidi ya miaka miwili Kwasasa ya nchi ya level ya master's, postgraduate diploma ni mwaka mmoja TU na ada ni 1500000 Kwa TIA
 
Mbona uo ualimu unatosha. Anzisha tuition ufundishe kam side hustle huku ukisubiri ajira.
Iyo procurement and logistic management ni kozi ambazo unatakiw kusom tayr una connection na watu w kusafirish mizigo bandarin au air cargo hvhv utaangaika kutembelea makampu kama unatak ajira yke
Tuishen tena MKuu?
 
Back
Top Bottom