Naomba ushauri wa namna ya kumkwepa huyu binti

tang'ana

JF-Expert Member
Apr 3, 2015
11,809
15,057
Bwana Yesu asifiwe enyi watu wa Mungu,

Wakuu,

Kuna binti nilimuahidi kuwa nitamuoa pindi atakapomaliza chuo,anamaliza chuo mwezi huu 7,nilimpa hii ahadi hewa ili niliendelee kumtafuna kisela tu,kiukwel binti wa watu kanionyesha respect na kunijali kipindi chote hiki alichokua masomoni lakini mimi sina hata chembe ya mapenzi ya dhati kwake na naona sio wa hadhi yangu.

Sasa siku za hivi karibuni ndio naona mapenzi yake kwangu yameongezeka x2 zaidi ya mwanzo na anaonekana bado anaikumbuka ile ahadi ya kuoana niliyompa miaka mitatu iliyopita wakati ndio anaenda kuanza chuo maana kama leo kaniambia eti kaota kuwa amekua officially mke wangu, maana kaota tuko kanisani tunafunga ndoa.

Sasa wakuu,mimi nataka nimuache huyo manzi solemba kwenye mataa,kwa kifupi nataka kuingia mitini,nitumie njia gani kumkwepa wakuu?

NB: Kama huna cha kuchangia,pita kimya kimya tu ili tusikwazane.
 
duh!!! mie ni mgegedaji na sio mtu waku-support mambo ya ndoa lakini hapa kaka inabidi tuu niseme u are very selfish!!!
ushauri wangu becoz u had promised her and she has remained faithful all those years (maana hujasema alicheat) basi muoe huyo dada.
 
Bwana yesu asifiwe enyi watu wa Mungu!
Wakuu,kuna binti nilimuahidi kuwa nitamuoa pindi atakapomaliza chuo,anamaliza chuo mwezi huu 7,nilimpa hii ahadi hewa ili niliendelee kumtafuna kisela tu,kiukwel binti wa watu kanionyesha respect na kunijali kipindi chote hiki alichokua masomoni.lakini me sina hata chembe ya mapenz ya dhati kwake na naona sio wa hadhi yangu,sasa cku za hivi karibuni ndio naona mapenzi yake kwangu yameongezeka x2 zaidi ya mwanzo,na anaonekana bado anaikumbuka ile ahadi ya kuoana nilyompa miaka mitatu iliyopita wkt ndio anaenda kuanza chuo maana kama leo kaniambia eti kaota kuwa amekua officially mke wangu maana kaota tuko kanisan tunafunga ndoa.sasa wakuu,mie nataka nimuache huyo manzi solemba kwenye mataa,kwa kifupi nataka kuingia mitini.nitumie njia gani kumkwepa wakuu?
NB:kama huna cha kuchangia,pita kimya kimya tu ili tusikwazane.
Jiandae kurogwa maana hakuna namna ya kukunusuru
 
kwani wewe una hadhi gani hadi useme binti hana hadhi ya kuwa na wewe?
All in all, mweleze ukweli kuliko kumpotezea muda wake
Ameshampotezea miaka mi3 alitakiwa awe mkweli toka mwanzo, alikuwa na hadhi ya kumgegeda lkn ya kuolewa naye hana.
 
Paka Leo naukumbuka ule Uzi wako Wa mabinti kushobokea wanachuo Wa yudism....

Anyway....what goes around comes around....!
 
jana nilikua naangalia movie inaitwa "the perfect match" mtoa mada itafute na wewe uiangalie. nahisi utajifunza kitu kuhusu haya maswala ya kuchukuliana for granted. mwisho wa yote wewe ndio utakuja kuwa mhanga zaidi ya huyo binti, pale ambapo utampata binti unayempenda afu yeye akufanyie kama ulivokuwa unawafanyia mabinti wengine.
 
Duh papuchi yake ya hadhi yako lakini kwa ndoa hana hadhi kwako? Basi mwambie tu kama ulivyo mtongoza ulisema unamtaka na sasa humtaki tena mwambie mapenzi kwako kwake yameisha moyoni.
 
Bwana yesu asifiwe enyi watu wa Mungu!
Wakuu,kuna binti nilimuahidi kuwa nitamuoa pindi atakapomaliza chuo,anamaliza chuo mwezi huu 7,nilimpa hii ahadi hewa ili niliendelee kumtafuna kisela tu,kiukwel binti wa watu kanionyesha respect na kunijali kipindi chote hiki alichokua masomoni.lakini me sina hata chembe ya mapenz ya dhati kwake na naona sio wa hadhi yangu,sasa cku za hivi karibuni ndio naona mapenzi yake kwangu yameongezeka x2 zaidi ya mwanzo,na anaonekana bado anaikumbuka ile ahadi ya kuoana nilyompa miaka mitatu iliyopita wkt ndio anaenda kuanza chuo maana kama leo kaniambia eti kaota kuwa amekua officially mke wangu maana kaota tuko kanisan tunafunga ndoa.sasa wakuu,mie nataka nimuache huyo manzi solemba kwenye mataa,kwa kifupi nataka kuingia mitini.nitumie njia gani kumkwepa wakuu?
NB:kama huna cha kuchangia,pita kimya kimya tu ili tusikwazane.
Ni PM namba yake mkuu hautoona anakuganda tena!!
 
What goes around comes around
 
jana nilikua naangalia movie inaitwa "the perfect match" mtoa mada itafute na wewe uiangalie. nahisi utajifunza kitu kuhusu haya maswala ya kuchukuliana for granted. mwisho wa yote wewe ndio utakuja kuwa mhanga zaidi ya huyo binti, pale ambapo utampata binti unayempenda afu yeye akufanyie kama ulivokuwa unawafanyia mabinti wengine.
Hana ubinadamu kabisa huyo alaf et bwana yesu asifiwe.. Damn!
 
Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom