Naomba ushauri wa namna ya kumkwepa huyu binti

Wewe utakuwa ni mwanaume wa dar bila shaka. Hapo tayari umetafuta first year mwingine na kumuahidi ndoa akimaliza.
Haya acha picha iendelee.
 
Jamani,mapenzi hayalazimishwi,sasa mtu kama namuona hanifai tena,ya nini kuendelea kumdanganya?
kwan ulivokua unamtongoza ulikua umefumba macho???.....leo ndo unagundua kwamba hafai????

aisee kwa namna hii "wanawake Mungu awashike mkono"..........
 
Umemuahidi mwenyewe kwa akili zako zote Leo unamkataa sio fair muoe!!!
 
Bwana yesu asifiwe enyi watu wa Mungu!
Wakuu,kuna binti nilimuahidi kuwa nitamuoa pindi atakapomaliza chuo,anamaliza chuo mwezi huu 7,nilimpa hii ahadi hewa ili niliendelee kumtafuna kisela tu,kiukwel binti wa watu kanionyesha respect na kunijali kipindi chote hiki alichokua masomoni.lakini me sina hata chembe ya mapenz ya dhati kwake na naona sio wa hadhi yangu,sasa cku za hivi karibuni ndio naona mapenzi yake kwangu yameongezeka x2 zaidi ya mwanzo,na anaonekana bado anaikumbuka ile ahadi ya kuoana nilyompa miaka mitatu iliyopita wkt ndio anaenda kuanza chuo maana kama leo kaniambia eti kaota kuwa amekua officially mke wangu maana kaota tuko kanisan tunafunga ndoa.sasa wakuu,mie nataka nimuache huyo manzi solemba kwenye mataa,kwa kifupi nataka kuingia mitini.nitumie njia gani kumkwepa wakuu?
NB:kama huna cha kuchangia,pita kimya kimya tu ili tusikwazane.

Ngoja nimfowadie hii post yako mmalizane hukohuko bkoz anajua ID yako hapa JF
 
Umeuanza uzi wako kwa salam ya Bwana Yesu Asifiwe, kumbe uzi wako umejaa madhambi na uovu. Usilitumie jina la Yesu ktk kufanya uovu. hakika Yesu hadhihakiwi, biblia inasema.
 
wapi yesu kadhihakiwa?
 
Ukishajua ulichoandika ni yjinga au uongo ndio unajihami kwa vitisho ili upate coments unazotaka wewe za kushauri ujinga ila kukosolewa hutaki. Kama ni kweli basi Mungu akujalie wayoto wakike watupu halafu nao wapimiwe hichihichi unachompimia huyu wa watu ili uweze kuonja ladha kamili.
 
Na usipomuoa Mungu atakuchapa kiboko kwa kukupa mke bomu ukajutia maisha yk yote kwann hukumuoa huyu
 
Bwana yesu asifiwe enyi watu wa Mungu!
Wakuu,kuna binti nilimuahidi kuwa nitamuoa pindi atakapomaliza chuo,anamaliza chuo mwezi huu 7,nilimpa hii ahadi hewa ili niliendelee kumtafuna kisela tu,kiukwel binti wa watu kanionyesha respect na kunijali kipindi chote hiki alichokua masomoni.lakini me sina hata chembe ya mapenz ya dhati kwake na naona sio wa hadhi yangu,sasa cku za hivi karibuni ndio naona mapenzi yake kwangu yameongezeka x2 zaidi ya mwanzo,na anaonekana bado anaikumbuka ile ahadi ya kuoana nilyompa miaka mitatu iliyopita wkt ndio anaenda kuanza chuo maana kama leo kaniambia eti kaota kuwa amekua officially mke wangu maana kaota tuko kanisan tunafunga ndoa.sasa wakuu,mie nataka nimuache huyo manzi solemba kwenye mataa,kwa kifupi nataka kuingia mitini.nitumie njia gani kumkwepa wakuu?
NB:kama huna cha kuchangia,pita kimya kimya tu ili tusikwazane.
Eti umenza na Yesu. Tekeleza ahadi acha longolongo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom