Napoleon the second
Member
- Aug 25, 2019
- 86
- 96
Hongera kwa kupata ajira..poleni na hongera kwa majukumu ya kila siku, naomba niende moja kwa moja kwenye mada. Kimsingi nahitaji kusoma "masters" ila sijuwi ni kozi gani itanifaa na kuleta tija kwangu.
Ndugu wadau, naomba nianze kwa kujitambulisha binafsi kielimu nina shahada ya elimu ya watu wazima na maendeleo ya jamii yaani "bachelor of education in adult education and community development (Bed-Adec) kutoka chuo kikuu cha dodoma (udom).
Ndugu wadau, nimepata ajira mwaka huu baada ya kupambana na saili za utumishi, bahati nzuri Mungu amenyosha mkono wake na kuamuru nipate ajira serikalini kama afisa maendeleo ya jamii dadaja ll yaani "Community Development Officer grade ll (CDO) katika halmashauri fulani hapa nchini.
Ndugu wadau, lengo langu "from day one" ni kuanza maandalizi ya kusoma " masters" ila sina ufahamu wa kutosha kuhusu aina au kozi gani ya "masters" itakayonisaidia zaidi kunipeleka mbele kulingana na "field" yangu hii ya CDO.
NB: Naombeni maoni na ushauri wenu wa kina juu ya jambo langu hili kwani imekuwa muda mrefu sasa toka nimalize shahada yangu ya kwanza mwaka 2017.
#Nitashukuru sana kwa msaada wenu wa mawazo.
Hakika waite wachangie mada mkuu wanguHongera Kwa kutaka kusoma masters mkuu
ngoja niwaite sasahivi ....
WAKUU KUNA MDAU ANAOMBA USHAURI HUKUU..!!!
Ushauri wako unachekesha sana mkuu wangu, kwamba "uchawa" but thanks nimejifunza kitu kutoka kwakoHongera
Lakini kumbuka hakuna mshahara wa shahada mbili aka masters ,ukiajiriwa serikalini utaanza sawa na mwenye shahada then vinafuata vyeo,kupanda vyeo kutategemeana na connection au Uchawa na unafiki wako Kwa wakubwa!!
Angalia usije kufa Kwa depression baada ya kupata masters
Ahsante mkuu nimepokea maoni yako, ubarikiwe na bwana!!Hongera kwa kupata ajira..
Ushauri :- fanya kazi kwanza (at least 05 years) maana kama usemavyo umeipata baada ya muda kidogo tangu ulipomaliza chuo, Kuhusu Kozi ya kusoma utaipata as unaendelea kufanya kazi.
Daaah! Kumbe hakuna faida yoyote tena mkuu, je! Niruhusu ndoto yangu ya kusoma "masters" isitimie mkuu?Kula mshahara kwanza kijana papara za nini?
Shahada umehitimu 2017 halafu umepata Ajira 2023 (miaka 6 upo kitaa unachapika) halafu bado una kiherehere cha kwenda kusoma tena??
Kwa Halmashauri, hususani kada yako ya CDO masters haina faida yeyote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna faida yeyote zaidi sana itakuongezea depression tu kuona una masters halafu bado unalipwa mshahara sawa na wenye Bachelor.Daaah! Kumbe hakuna faida yoyote tena mkuu, je! Niruhusu ndoto yangu ya kusoma "masters" isitimie mkuu?
Hahah! Mambo hayo sasa kutoka kwa wadau.Hakuna faida yeyote zaidi sana itakuongezea depression tu kuona una masters halafu bado unalipwa mshahara sawa na wenye Bachelor.
Tena usipokaa vizuri huko Halmashauri unaweza pelekwa hata kukaimu ofisi ya mtendaji wa Kijiji akipata likizo na Masters yako au kupelekwa kwenye mageti ya kukusanya ushuru [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante mkuu nimepokea ushauri wako, ubarikiwe na bwana!!Umepata Ajira shukuru Mungu na tumia Ajira Yako kama chanzo cha mtaji uanze biashara mdogomdogo....kusoma sana Tanzania ni kupoteza muda wa kupambania kombe kitaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukweli mchungu kaka, Kuna walimu wana masters lkn tunafundisha nao form 1 C,wakati Kuna watu wana diploma wapo halmashauri ..Ushauri wako unachekesha sana mkuu wangu, kwamba "uchawa" but thanks nimejifunza kitu kutoka kwako
kasome project planningDaaah! Kumbe hakuna faida yoyote tena mkuu, je! Niruhusu ndoto yangu ya kusoma "masters" isitimie mkuu?
Ushauri wangu kwako ni kwamba si unataka kusoma, unashindwa nini sasa......nenda kasome. Hujafungwa mnyororo wala kamba na haukatazwi kusoma.poleni na hongera kwa majukumu ya kila siku, naomba niende moja kwa moja kwenye mada. Kimsingi nahitaji kusoma "masters" ila sijuwi ni kozi gani itanifaa na kuleta tija kwangu.
Ndugu wadau, naomba nianze kwa kujitambulisha binafsi kielimu nina shahada ya elimu ya watu wazima na maendeleo ya jamii yaani "bachelor of education in adult education and community development (Bed-Adec) kutoka chuo kikuu cha dodoma (UDOM).
Ndugu wadau, nimepata ajira mwaka huu baada ya kupambana na saili za utumishi, bahati nzuri Mungu amenyosha mkono wake na kuamuru nipate ajira serikalini kama afisa maendeleo ya jamii dadaja ll yaani "Community Development Officer grade ll (CDO) katika halmashauri fulani hapa nchini.
Ndugu wadau, lengo langu "from day one" ni kuanza maandalizi ya kusoma " masters" ila sina ufahamu wa kutosha kuhusu aina au kozi gani ya "masters" itakayonisaidia zaidi kunipeleka mbele kulingana na "field" yangu hii ya CDO.
NB: Naombeni maoni na ushauri wenu wa kina juu ya jambo langu hili kwani imekuwa muda mrefu sasa toka nimalize shahada yangu ya kwanza mwaka 2017.
#Nitashukuru sana kwa msaada wenu wa mawazo.
Mdogo wangu hongera sana, ulileta taarifa zako JF wakati umegraduate hiyo ni Sawa kabisa. Baadae ukaleta taarifa jinsi ulivyoulizwa maswali ya interview hii ni sawa pia.poleni na hongera kwa majukumu ya kila siku, naomba niende moja kwa moja kwenye mada. Kimsingi nahitaji kusoma "masters" ila sijuwi ni kozi gani itanifaa na kuleta tija kwangu.
Ndugu wadau, naomba nianze kwa kujitambulisha binafsi kielimu nina shahada ya elimu ya watu wazima na maendeleo ya jamii yaani "bachelor of education in adult education and community development (Bed-Adec) kutoka chuo kikuu cha dodoma (UDOM).
Ndugu wadau, nimepata ajira mwaka huu baada ya kupambana na saili za utumishi, bahati nzuri Mungu amenyosha mkono wake na kuamuru nipate ajira serikalini kama afisa maendeleo ya jamii dadaja ll yaani "Community Development Officer grade ll (CDO) katika halmashauri fulani hapa nchini.
Ndugu wadau, lengo langu "from day one" ni kuanza maandalizi ya kusoma " masters" ila sina ufahamu wa kutosha kuhusu aina au kozi gani ya "masters" itakayonisaidia zaidi kunipeleka mbele kulingana na "field" yangu hii ya CDO.
NB: Naombeni maoni na ushauri wenu wa kina juu ya jambo langu hili kwani imekuwa muda mrefu sasa toka nimalize shahada yangu ya kwanza mwaka 2017.
#Nitashukuru sana kwa msaada wenu wa mawazo.
Daaah! Ukweli mchungu lakini umefanya vizuri kuuzungumza mkuuUkweli mchungu kaka, Kuna walimu wana masters lkn tunafundisha nao form 1 C,wakati Kuna watu wana diploma wapo halmashauri ..
Ukiwa na masters kutumwa na mtu mwenye diploma inaudhi sana!
Ukweli mchungu kaka, Kuna walimu wana masters lkn tunafundisha nao form 1 C,wakati Kuna watu wana diploma wapo halmashauri ..
Ukiwa na masters kutumwa na mtu mwenye diploma inaudhi sana!