Mtanzania2020
JF-Expert Member
- May 23, 2020
- 1,029
- 2,304
Kasome Public HealthHabarini WanaJF
Natumaini hamjambo wote. Mimi nimesome Bachelor Degree in Biology lakini nimejaribu kutafuta kazi nakosa naambiwa coarse yangu ni general sana.
Nilikuwa naomba mwenye kujua kozi ambazo naweza kujiwndeleza ili niwe specific
Natanguliza shukrani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana.Nyie ndio mlidanganywa mnakuwa wasaidizi wa madaktari.
4 millions per year kwa miaka miwili.ada yake ikoje boss
Soma course fupi za Wildlife Management..Kwa sasa nipo arusha..Napendelea mambo ya research
AiseeSoma course fupi za Wildlife Management..
Kuna course pia za Kitalii Conservation issues.. na kwa kuwa una background ya BIOLOGY lazima utoboe.
Anaajiriwa wapi akimalizaSoma course fupi za Wildlife Management..
Kuna course pia za Kitalii Conservation issues.. na kwa kuwa una background ya BIOLOGY lazima utoboe.
Mkuu acha kudhalilisha taaluma ya ualimu,huyo kasoma digree ya baiolojia,na sio ualimu wa biology,hana sifa za ualimuSasa si ukawe mwalimu wa biology tu.
Fungua hata tuition center ufundishe biology utapiga pesa.
Katika mashirika ya Wanyama pori.. na Misitu.Anaajiriwa wapi akimaliza
UnajidanganyaMkuu acha kudhalilisha taaluma ya ualimu,huyo kasoma digree ya baiolojia,na sio ualimu wa biology,hana sifa za ualimu
Then akitoka anaanza kutafuta kazi tena?Nenda kasome MS in medical parasitology and entomology muhimbili
Pole. Ila kuna watu kama 4 hivi wamesoma hii course na wameajiriwa kama lab scientist -botany PUSS 4.1 =1.5M Salary hivi.Habarini WanaJF
Natumaini hamjambo wote. Mimi nimesome Bachelor Degree in Biology lakini nimejaribu kutafuta kazi nakosa naambiwa coarse yangu ni general sana.
Nilikuwa naomba mwenye kujua kozi ambazo naweza kujiwndeleza ili niwe specific
Natanguliza shukrani
Mkuu samahani. Take home yake kwa mtu mwenye HESLB na makato ya Kodi , bima nk inabaki ngapi?Pole. Ila kuna watu kama 4 hivi wamesoma hii course na wameajiriwa kama lab scientist -botany PUSS 4.1 =1.5M Salary hivi.
So siyo mbaya sana sema ajira zimekuwa za kubahatisha sana.
Njia sahihi wa kupunguza Wimbi la course kama hizi ni kudahili wanafunzi wachache sana at least 20 per year.
900k, bila HESLB 1.1MMkuu samahani. Take home yake kwa mtu mwenye HESLB na makato ya Kodi , bima nk inabaki ngapi?
Shukrani mkuu.900k