Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,920
nahitaji ubadilike tabia yako hainipendezi
miaka mitano tuliokuwa pamoja itakuwa historia muda si mrefu
Haya mama nimekusikia!!
nahitaji ubadilike tabia yako hainipendezi
miaka mitano tuliokuwa pamoja itakuwa historia muda si mrefu
Uchumba au kutambulishana si ndoa dada kumbuka. Binafsi nadhani pamoja na kumpenda na hatua mlizokwisha chukua bado na wewe yakupasa ujipende na hiyo ni pamoja na kuwa na mtu anayekupenda na anayekuheshimu
Mara nyingi tunaingia kwenye matatizo ya mapenzi kwa kudhani mwenzetu atabadilika, mwisho wake inakuwa majuto ukiwa tayari uko ndani.
Mimi nadhani Mungu kakuonyesha aina ya mwanamme unayetaka kuolewa naye mapema sasa amua kuvaa au kuvua
umesema mnaishi mikoa tofauti, huwa anajuaje kama umekwenda sehemu? Au huwa unajuaje kama kanuna wakati mnaishi mikoa tofauti? Au mkitembeleana wikiendi baada ya kusalimiana mmoja wenu anakwenda kutembea sehemu?
Nimekuwa na mahusiano
takribani miaka 5 sasa tatizo ni huyu mwanaume wangu ambaye sasa ni
mchumba kutokana na familia zote mbili zinafahamu kuhusu uchumba wetu
kwa bahati mbaya tunakaa mikoa tofauti.
Kitu ambacho naomba ushauri hapa ni kuwa huyu mtu najitahidi sana
kufanya kila atakacho hata kama ni cha kunionea ambavyo hamna mwanamke
ambaye angemvumilia wakati huo huo amenifanya nisimwamini kwan
nishamkuta na matukio kadhaa ambayo navumilia sana nikijua mwenzangu
atajirekebisha sasa imefikia hatua hatuwezi kukaa wiki hatujagombana na
tukitembeleana cha kwanza kushika sim yangu yaan hapo tutagombana mpaka
hiyo wikiend inakuwa chungu unatamani asingekuja au nisingeenda na
ameshaji engage na wasichana ambao tukiwa wote anawablock ili nisijue
kinachoendelea bahati mbaya hata afanye hivo watamtafuta tu hata kwa
namba nyingine wapendwa nahitaji ushauri wenu yaan naumia sana coz
nimemrekebisha nimechoka na vitendo vya yeye kutaka afanyiwe anachotaka
afu ye anafanya tofauti nimechoka.
Nimefikia hatua ya kuleta hapa coz cna wa kumueleza coz hataki hata hao
rafiki zake niwaambie chochote kuna kaka ake nilikuwa namueleza nahisi
amenichoka so naumia sana kukaa navyo naogopa kumueleza ndugu yangu wa
karibu coz napenda aendelee kuheshimiwa kusiwe na chuki.
NAMPENDA NA ANALIJUA HILO
NB. Ushauri tafadhali naolewa soon na huyu mtu.
Huyu utakuta anasababu zingine za kuolewa na huyo bwana na si mapenzi. Mapenzi yana wivu ati. Mapenzi sio unyonge vile. Aombaye msamaha hubadilika. Huyo mwanaume anajua amekukamata huchomoki.
Jithamini uthaminiwe. Inawezekana akakuacha leo na kesho ukapata mwingine. Sidhani umeishiwa market kihivyo kiasi kwamba akuhenyeshe kiasi hicho, na wewe ukubali.
Asante.....
Kwa ndugu na rafiki anajulikana kama mtu mmoja mstaharabu sana na hashauriki na mtu yoyote...
Nice advice indeed....dalili za mvua ni mawingu....Nadhani bi dada anajua it wont work anataka kupewa big up tu kwamba she is doing the right thing...Coz i have been there once,and i really thought to myself this person who makes my life so miserable a living hell is supposse to be my husband...and i said NO :nono: i won't let this humanbeing take me down...coz he caused enough damage already,its just gonna get worse and i deserve better!!And actually nikafanya kama ulivyomshauri bi dada nikwambia its over na nikamsahau...not to my surpise he never cared....kaja kunitafuta after 4months....and by that time i was so over him....like i didn't even feel a thing for him...he was this worthless human being to me...Mazoea yana tabu sana Eiyer...ndio kitu pekee kitakachompa shida huyu dada....kuachana na mtu alomzoea na kujipanga upya!!!Dada huna pa kuupeleka huu upendo wako unakostahili?
Hujui kuwa kuna watu watauheshimu na kuuthamini huu upendo wako?
Mbona unaudhalilisha namna hii huu upendo?
Kosa kubwa sana ambalo hua mnajidanganya ni kuwa mnadhani kuwa kuna mtu anaweza kumbadilisha yoyote yule
Ukweli ni kwamba hakuna mtu anaeweza kumbadilisha yoyote yule
Mtu hubadilika mwenyewe akitaka
Kama kuna mtu ambae amembadilisha mtu basi ujue huyo aliyebadilika ni kwasababu za woga fulani tu na siku huo woga ukiisha utaziona rangi zake
Dada sasa mko kwenye uchumba na umeona vituko na unyanyasaji mkubwa kiasi hicho halafu bado unataka kuingia kwenye hiyo ndoa,au unataka kufa?
Kudhani kuwa mtu atabadilika ni kujidanganya dada yangu
Ngoja nikupe siri moja kubwa sana,duniani kuna wajinga wakubwa na wengi sana ambao wao kupendwa ni ishara ya ujinga,hivyo ukimpenda mtu wa aina hiyo ni sawa na kuweka chakula kitamu mbele ya mwendawazimu ataishia kukimwaga chini chakula hicho na kwenda kula jalalani
Huyo bweg.e [samahani kwani sina namna nyingine ya kumuita] anajua kuwa unampenda ndio maana anafanya hayo madudu
Onesha msimamo kwa kufanya yafuatayo:
Sitisha uchumba
Sitisha mipango ya ndoa
Acha kumtembelea
Katisha mawasiliano naye
Yote hayo yafanye kimya kimya,najua utajisikia maumivu sana lakini usiogope wala kutetereka kwani hata sindano nayo inauma lakini inakuponya
Ukiona unapita muda na hakutafuti endelea na maisha yako
Akija kukutafuta mkaushie kwanza hadi umuone ameteseka vya kutosha maana watu wa aina hiyo huwa ni dhaifu sana,kisha kaa nae chini na umuambie namna unavyohitaji mahusiano yenu yawe,kisha weka time frame ya kumkagua
Time frame ni muhimu kwakuwa hao hawakawii kurudia madudu yao,ukimuona amejirekebisha fungua taratibu za ndoa,ukiona hafai tupa kule!!
Nimeipenda hii. Kula like mkuu. Tutawatumia sana tutakavyo maana akili zao sijui ziko nusu.
sikia dada yangu Filomena, maisha haya ni mafupi sana na sidhani kama upo tayari kupoteza muda wa maisha yako kumshughulikia mtu ambaye haipiti wiki bila kugombana, anachat videmu vyake pindi upo mbali naye na kadhalika.. umejaribu kumvumilia ukitegemea atabadilika lakini wapi.. sawa unapenda lakini ndio hivyo tena jamaa hasomeki na hashauriki! sometimes tunahitaji kuwaacha tuwapendao si kwa sababu hatuwapendi, hapana, bali kwa sababu wao ndio hawatupendi tena na mioyoni mwetu tunajua watatusababishia matatizo na maumivu tukiendelea kuwa nao. ni heri waende, huwezi jua Mungu amekupangia nini.
Nice advice indeed....dalili za mvua ni mawingu....Nadhani bi dada anajua it wont work anataka kupewa big up tu kwamba she is doing the right thing...Coz i have been there once,and i really thought to myself this person who makes my life so miserable a living hell is supposse to be my husband...and i said NO :nono: i won't let this humanbeing take me down...coz he caused enough damage already,its just gonna get worse and i deserve better!!And actually nikafanya kama ulivyomshauri bi dada nikwambia its over na nikamsahau...not to my surpise he never cared....kaja kunitafuta after 4months....and by that time i was so over him....like i didn't even feel a thing for him...he was this worthless human being to me...Mazoea yana tabu sana Eiyer...ndio kitu pekee kitakachompa shida huyu dada....kuachana na mtu alomzoea na kujipanga upya!!!
Nimekuwa na mahusiano takribani miaka 5 sasa tatizo ni huyu mwanaume wangu ambaye sasa ni mchumba kutokana na familia zote mbili zinafahamu kuhusu uchumba wetu kwa bahati mbaya tunakaa mikoa tofauti.
Kitu ambacho naomba ushauri hapa ni kuwa huyu mtu najitahidi sana kufanya kila atakacho hata kama ni cha kunionea ambavyo hamna mwanamke ambaye angemvumilia wakati huo huo amenifanya nisimwamini kwan nishamkuta na matukio kadhaa ambayo navumilia sana nikijua mwenzangu atajirekebisha sasa imefikia hatua hatuwezi kukaa wiki hatujagombana na tukitembeleana cha kwanza kushika sim yangu yaan hapo tutagombana mpaka hiyo wikiend inakuwa chungu unatamani asingekuja au nisingeenda na ameshaji engage na wasichana ambao tukiwa wote anawablock ili nisijue kinachoendelea bahati mbaya hata afanye hivo watamtafuta tu hata kwa namba nyingine wapendwa nahitaji ushauri wenu yaan naumia sana coz nimemrekebisha nimechoka na vitendo vya yeye kutaka afanyiwe anachotaka afu ye anafanya tofauti nimechoka.
Nimefikia hatua ya kuleta hapa coz cna wa kumueleza coz hataki hata hao rafiki zake niwaambie chochote kuna kaka ake nilikuwa namueleza nahisi amenichoka so naumia sana kukaa navyo naogopa kumueleza ndugu yangu wa karibu coz napenda aendelee kuheshimiwa kusiwe na chuki.
NAMPENDA NA ANALIJUA HILO
NB. Ushauri tafadhali naolewa soon na huyu mtu.
Huyo mwanaume umezaliwa nae? Au hadi akuletee ukimwi ndo utaridhika? Au umeambiwa ndo mwanaume pekee aliyepo chini ya jua???
Hata nyie akili zen zpo robo, mkishajua mnapendwa mnajiona kama malaika vile, hata nyie mnakera hamjui tu.
Kama nuchumba ndio uko hivyo ukiingia ndoani basi andika maumivu, uzoefu ni kuwa watu wengi huwa wanaenjoy na kufurahia maisha yao ya uchumba ila kwako daaah pole sana, naogopa kukushauri uachane nae kwa kuwa haya ni maelezo ya upande mmoja na sijui na yeye anasemaje ila naona kwa mbali kuwa unaelekea kuwa desperate wife.... sogeza muda wa kufunga ndoa ili mchunguzane zaidi.
Nimekuwa na mahusiano takribani miaka 5 sasa tatizo ni huyu mwanaume wangu ambaye sasa ni mchumba kutokana na familia zote mbili zinafahamu kuhusu uchumba wetu kwa bahati mbaya tunakaa mikoa tofauti.
Kitu ambacho naomba ushauri hapa ni kuwa huyu mtu najitahidi sana kufanya kila atakacho hata kama ni cha kunionea ambavyo hamna mwanamke ambaye angemvumilia wakati huo huo amenifanya nisimwamini kwan nishamkuta na matukio kadhaa ambayo navumilia sana nikijua mwenzangu atajirekebisha sasa imefikia hatua hatuwezi kukaa wiki hatujagombana na tukitembeleana cha kwanza kushika sim yangu yaan hapo tutagombana mpaka hiyo wikiend inakuwa chungu unatamani asingekuja au nisingeenda na ameshaji engage na wasichana ambao tukiwa wote anawablock ili nisijue kinachoendelea bahati mbaya hata afanye hivo watamtafuta tu hata kwa namba nyingine wapendwa nahitaji ushauri wenu yaan naumia sana coz nimemrekebisha nimechoka na vitendo vya yeye kutaka afanyiwe anachotaka afu ye anafanya tofauti nimechoka.
Nimefikia hatua ya kuleta hapa coz cna wa kumueleza coz hataki hata hao rafiki zake niwaambie chochote kuna kaka ake nilikuwa namueleza nahisi amenichoka so naumia sana kukaa navyo naogopa kumueleza ndugu yangu wa karibu coz napenda aendelee kuheshimiwa kusiwe na chuki.
NAMPENDA NA ANALIJUA HILO
NB. Ushauri tafadhali naolewa soon na huyu mtu.